TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

Mwaka mbaya sana huu jamani.
 
Haters watasema ni corona....RIP DC
Inaweza kuwa ni Corona au isiwe.

China kuna visa zaidi ya 1000, awali walijua kuwa ni vifo vilivyosababishwa na matatizo ya high blood pressure na kisukari lakini uchunguzi wa baadaye wamegundua ilikuwa ni coronavirus. Halikadhalika US, nao wamegundua hivyo hivyo kwa baadhi ya vifo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Innalillah wainnailayhy rajiun, Poleni ya Kupoteza
 
Sawa ila pia china huko wametoa ripoti ya kuover estimate vifo vya corona wakati wengine sio corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…