Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 306
- 165
Hii Kniniki itafika lini wilaya ya Serengeti tarafa ya Ngoreme, kata ya Kenyamonta? Huko ndiko kwenye Changamota zaidi, watu tunafuatilia tupewe hati lakini wapi... mlolongo ni mrefu...@wizara ya ardhi, toeni majibuMkuu wa Wilaya ya Musoma mkoani Mara, Juma Chikoka, amewahimiza wananchi wa Wilaya hiyo kujitokeza katika Kliniki ya Ardhi inayofanyika katika Viwanja vya Mara Sekondari, ili kupata elimu na huduma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ardhi.
Aidha, Chikoka amesema kuwa yeye binafsi atashiriki katika Kliniki hiyo kwa muda wa siku tatu, kuanzia Septemba 28, 2026, ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma na elimu kuhusu masuala ya ardhi kwa wakati.
Kliniki ya Ardhi ni jitihada ya Serikali ya kusogeza huduma za sekta ya ardhi karibu na wananchi, ambapo kwa sasa inafanyika katika mikoa yote ya Tanzania Bara.
Kliniki hiyo ilizinduliwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo tarehe 25 Septemba 2026 Mkoani Mtwara na inatarajiwa kuhitimishwa tarehe 3 Oktoba 2026.
Karibu tukuhudumie
S.M.P2503Hii Kniniki itafika lini wilaya ya Serengeti tarafa ya Ngoreme, kata ya Kenyamonta? Huko ndiko kwenye Changamota zaidi, watu tunafuatilia tupewe hati lakini wapi... mlolongo ni mrefu...@wizara ya ardhi, toeni majibu
Mwambie Samia Suluhu Hassan aache upumbavu, amrudishe Polepole tena akiwa hai.Mkuu wa Wilaya ya Musoma mkoani Mara, Juma Chikoka, amewahimiza wananchi wa Wilaya hiyo kujitokeza katika Kliniki ya Ardhi inayofanyika katika Viwanja vya Mara Sekondari, ili kupata elimu na huduma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ardhi.
Aidha, Chikoka amesema kuwa yeye binafsi atashiriki katika Kliniki hiyo kwa muda wa siku tatu, kuanzia Septemba 28, 2026, ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma na elimu kuhusu masuala ya ardhi kwa wakati.
Kliniki ya Ardhi ni jitihada ya Serikali ya kusogeza huduma za sekta ya ardhi karibu na wananchi, ambapo kwa sasa inafanyika katika mikoa yote ya Tanzania Bara.
Kliniki hiyo ilizinduliwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo tarehe 25 Septemba 2026 Mkoani Mtwara na inatarajiwa kuhitimishwa tarehe 3 Oktoba 2026.
Karibu tukuhudumie
Unaishi nyumba ya kioo bwasheeKliniki za ardhi ni gani ikiwa serikali inateka raia. Na msipomrudisha polepole mtajuta zenu.
S.M.P2503
Habari, Pole sana kwa changamoto, Wizara ya Ardhi inatambua uwepo wa changamoto hiyo na inaendelea kuwasiliana na wadau ili kuhakikisha Kijiji chenu kinapata Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi utakaowezesha upatikanaji wa Hati Miliki kwa wananchi katika Kijiji cha Kenyamonta.