Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Pia Soma:
Jeneza lawekwa juu ya gari la DC Siha
Always wanakana, lets say wamelewa yes but wamejibu madai yao kuwa mwenzao aliuliwa na polisi?Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa katika hali isiyo ya kawaida kutokana na matumizi ya vilevi.
Na wanajiandaa kuandamana 7/7 nami siku hiyo nitakunywaWalevi siyo wanafiki wamenyooka sana.
Lilitafakari kwa kina hilo tukio kabla ya kusema hivi?!Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa katika hali isiyo ya kawaida kutokana na matumizi ya vilevi.
Pia Soma:
Jeneza lawekwa juu ya gari la DC Siha
Ni wataalam wa true colors, hawanaga kupindisha jambo.Walevi siyo wanafiki wamenyooka sana.
Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa katika hali isiyo ya kawaida kutokana na matumizi ya vilevi.
Pia Soma:
Jeneza lawekwa juu ya gari la DC Siha