Mkuu wa Wilaya ya Songwe bado yuko kazini?

Mkuu wa Wilaya ya Songwe bado yuko kazini?

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Merhaba!

Wakuu Kuna vitu kwenye hii nchi vinakera na kuchukiza sana na kuumiza inakuaje mkuu wa wilaya moja nchini ya songwe eti bado yuko kazini mpaka sasa japokuwa ana tuhuma nyingi mojawapo ni kufanya ukatili wa kijinsia kumpiga mwanamke au msichana na kumjeruhi still mpaka sasa yuko ofisini na hii nchi ya hovyo sana.

Waziri wa wizara husika hamna action yoyote Ile ambayo amechukua,jeshi la polisi hamna action yoyote aliyochukua na hata pia bosi wake hamna action yoyote aliyochukua na hata wananchi wa huko hamna action action yoyote Ile walioichukua! Idiot

Wananchi wa huko nao ni waoga ila kwenye vijiwe Vya kahawa kutwa kujimbwafai tu watu wa songwe nmnakera sana hovyo kabisa nyie.

Mashirika ya kupinga ukatili wa kijinsia ipo kimya hovyo kabisa wangekuwa watu wengine tayari mngepiga kelele mnachukiza sana hii nchi Ina double standard sana.

Huyu mkuu wa wilaya wa Songwe anaogopwa? Inakuwaje mtu au mtumishi wa umma anafanya huu ujinga na bado yupo kazini nyie mijitu mpoje? Je wale wanaharakti wa kupiga kelele au wanajiita feminist wako wapi?
 
In tz kama unajuana na watu wanaokula cake hamna mtu anaweza kufanya kitu, hakuna accountability kabisa, nobody cares at the top hao wanajijali wao na families zao na ndugu na jamaa zao, they don't care at all kwa watu WA chini.
 
Watu wa Pwani nchi hii hawagusiki, pambaneni na wachunga ng'ombe na watu wengine wa bara. Pwani usithubutu. Wanabebwa mno.
 
Nawakumbusha tu haya yote yameandikwa na shujaa aliye nyuma ya keyboard mtandaoni na ameandika akiwa na ID fake huku na kaweka VPN. Long live keyboard warriors
 
Jeshi la Polisi limeshathibitisha kwamba binti hakupigwa!! Wewe KENGE ulitakuwa na hoja kwanini huyo Binti amedanganya umma?

Wewe KENGE amekukosea nini DC?
 
Swali ulilotakiwa kuuliza ni

JE TUHUMA ZA DC WA SONGWE ZIMESHATHIBITISHWA??

baada ya hapo Ndo uulizie hukumu....maana kwa mtu yoyote mwenye akili lile tukio lilikuwa la kuungaunga (in short zilikuwa propaganda)
 
Jeshi la Polisi limeshathibitisha kwamba binti hakupigwa!! Wewe KENGE ulitakuwa na hoja kwanini huyo Binti amedanganya umma?

Wewe KENGE amekukosea nini DC?
Ni sahihi kuniita mimi baba yko mzazi Kenge? Unataka laana wewe mtoto wa firauni? Kamwambie mama yko Aache uzinifu la sivyo mtaendelea kupata laana! Mania we mtoto wa uzinifu we
 
Akifukuzwa wewe unafaidika na nini?

Punguza punyeti, usifuatilie wanaume utapoteza malinda.
Kwani ulipokuwa unaielezea ile point ya rule of law na Integrity ulikuwa unajua zinakuwa applicable wapi? Au shule mlikuwa mnaenda kukua tu bila kujua mnachojifunza?
 
Back
Top Bottom