Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
HakikaKuna Fursa Nyingi sana kwenye hii Nchi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaKuna Fursa Nyingi sana kwenye hii Nchi!
Ndio maana nimemwambia aende mwenyewe
Hata mainjinia wanahoji huu mradi , sasa hata kama sijui lolote ni mradi gani wa ujenzi ambao unaruhusu kubomoa makazi na kuzuia barabara bila hata kazi yenyewe kufanyika , yaani hawa wanachimbua mahali halafu wanapatelekeza , mvua ikinyesha nyumba zinabomoka , huu ndio utaalam mliosomea wataalam wetu wazawa ?Mkuu labda nikuhoji swali dogo - hivi wewe una taaluma gani katika masuala ya ujenzi - umesema kwamba sehemu kubwa inayo husu mtaro imekwisha chimbwa - kuanzia kiwanda cha bia aina ya Serengeti mpaka Magereza ya Keko kama sikosei - kama hujui project nzima inafanya lipi la mwanzo na lipi la mwisho uwezi kuanza kulahumu kwamba Wachina hawajui walifanyalo au Wchina wanachelewesha mradi.
The other way round...Wachina huwa wanahonga sana watendaji wa serikali.
Siyo siri.
Mkuu, kwani hakuna msimamizi kutoka Serikalini anaye husika moja kwa moja na mradi huu? Haingii akilini kwamba mradi wa umuhimu wa pekee wanaweza kuwachia wahandisi wa Kichina kufanya wapendalo bila ya kufatiliwa na Serikali kwa karibu - hayo ndio maoni yangu.Hata mainjinia wanahoji huu mradi , sasa hata kama sijui lolote ni mradi gani wa ujenzi ambao unaruhusu kubomoa makazi na kuzuia barabara bila hata kazi yenyewe kufanyika , yaani hawa wanachimbua mahali halafu wanapatelekeza , mvua ikinyesha nyumba zinabomoka , huu ndio utaalam mliosomea wataalam wetu wazawa ?
Swali lako hata wengine wengi wanajiulizaMkuu, kwani hakuna msimamizi kutoka Serikalini anaye husika moja kwa moja na mradi huu? Haingii akilini kwamba mradi wa umuhimu wa pekee wanaweza kuwachia wahandisi wa Kichina kufanya wapendalo bila ya kufatiliwa na Serikali kwa karibu - hayo ndio maoni yangu.
Mpenda rushwa na bingwa wa kutoa rushwa wamekutana.The other way round...
Watendaji wa serikali wanapenda (hudai) sana hongo.
Hapo ndio mujue lip service na maneno matupu ya idara nyingine serikalini.Mkuu, kwani hakuna msimamizi kutoka Serikalini anaye husika moja kwa moja na mradi huu? Haingii akilini kwamba mradi wa umuhimu wa pekee wanaweza kuwachia wahandisi wa Kichina kufanya wapendalo bila ya kufatiliwa na Serikali kwa karibu - hayo ndio maoni yangu.
Serikali yangu inaamini HITMEN ni scheme ya ulaya magharibi pekee.Nimekuona ukipambana na Wachina wanaojenga barabara ya Mwendokasi huko Mbagala , sasa Wachina wale wa Mwendokasi wana nafuu mno kuliko hawa wanaojenga mtaro wa maji ya mvua kuanzia kule kwenye kiwanda cha bia cha Serengeti, haifahamiki walipataje kazi kubwa hivi kwa viwango vyao duni walivyoonyesha (nitachunguza)
Wachina hawa kiukweli hawaiwezi kazi waliyopewa, hebu jaribu kupita kila mahali walikopitisha mtaro wao kuanzia Chang'ombe , TCC Club, njoo kwenye Maghorofa ya nyuma ya Takukuru Temeke, njoo Keko, pita ndani ya gereza la keko, nenda hadi Keko Mwanga ujionee hasara waliyoisababisha ikiwemo vifo, usimtume mtu nenda mwenyewe ujionee, hii kampuni imesababisha nyumba za watu kubomoka kwa ujinga wao wa kuchimba mashimo makubwa na kuyatelekeza, spidi yao hata konokono ana nafuu , urefu wa mita 100 wanajenga kwa miezi 4, hivi ndivyo mlivyowaelekeza?
Hivi sasa barabara ya kwenda Gereza la Keko imefungwa kwa zaidi ya wiki 1 kutokana na kuchimba shimo kubwa ambalo wamelitelekeza, Wafungwa na Mahabusu sasa wanapitishwa vichochoroni kwa vile wachina wanalindwa, huoni hii hatari? Nimejionea mwenyewe baada ya kutaabika kufika gerezani kumuona mahabusu ndugu yangu ambaye nilitaarifiwa kwamba anaumwa.
Hatari iliyo kwenye mradi huu ni kubwa kuliko maelezo yangu, hebu DC nenda kajionee mwenyewe.
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
But pia haya maswala , vilevile tuwasikilize wataalamu kwenye nyanja husika , Client, Engineer au contractor zaidi , kuhusu nini hasa laweza kuwa kiini cha tatizo ktk miradi , badala ya kuwaachia wanasiasa kwenda kutoa site instructions zisizo na kichwa wala miguu.. maana kwa 'layman' knowledge yangu ya conditions of contract, parties wanaohusika directly kwenye miradi ni Client, consultant (engineer) na Contractor..sasa Dc kwenda kutoa instructions kwa contractor, wapi na wapi?? Tuachie zaidi wahusika/wataalamu, wawe ndo wanatupa ukweli wa mambo na sio kuwapa wanasiasa nafasi za kutaka ' kiki' zaGONDWE hawezi fuatilia yeye akili yake anawaza u RC Tu kila anachokifanya ni the kiki
Hawa wataalam wanaonunuliwa kama maandazi ndio unaotaka tuwaamini ?But pia haya maswala , vilevile tuwasikilize wataalamu kwenye nyanja husika , Client, Engineer au contractor zaidi , kuhusu nini hasa laweza kuwa kiini cha tatizo ktk miradi , badala ya kuwaachia wanasiasa kwenda kutoa site instructions zisizo na kichwa wala miguu.. maana kwa 'layman' knowledge yangu ya conditions of contract, parties wanaohusika directly kwenye miradi ni Client, consultant (engineer) na Contractor..sasa Dc kwenda kutoa instructions kwa contractor, wapi na wapi?? Tuachie zaidi wahusika/wataalamu, wawe ndo wanatupa ukweli wa mambo na sio kuwapa wanasiasa nafasi za kutaka ' kiki' za
kisiasa...
Hata mainjinia wanahoji huu mradi , sasa hata kama sijui lolote ni mradi gani wa ujenzi ambao unaruhusu kubomoa makazi na kuzuia barabara bila hata kazi yenyewe kufanyika , yaani hawa wanachimbua mahali halafu wanapatelekeza , mvua ikinyesha nyumba zinabomoka , huu ndio utaalam mliosomea wataalam wetu wazawa ?
hili swali tujiulize mimi na wewe ?Sasa kama mainjia wa kiswahili ni wakali katika nyanja za ujenzi makini, ilikuwaje tena Serikali ikalazimika kuwapa contract Wachina na kuwatosa waswahili?
Aiseeee !!Wachina waliopo hapa Tz ni kama "miungu".
Hapa Mkuranga yote,viwanda vya wachina ni hatari. Nina watu "wanasukuma" mende zangu hapo Goodwill,wanakwambia ni hatari. Hawana vibali wala nini,wanafanya Tanzania kama "Wuhan".
Godwin Gondwe yuko kwenye VITA ngumu ambayo huenda aanaijua au haijui! Sinohydro wana miradi mingi mikubwa Tanzania, wana "network" kubwa sana ndio maana Wafanyakazi wanapigwa, vibarua hawalipwi kwa wakati na hakuna PPE. Labda kama Gondwe kapewa dau dogo ila kwa sisi wataalam wa mawasiliano, unaona kabisa Gondwe akiongea na mchina alikua hana confidence kabisa (mwenye dhambi huna amani), na hadi HR alikua anamcheka Godwin! Pretenders? Mwaka Jana Mlinzi wa Sinohydro aliamriwa na mchina afyatue risasi juu iki kuwatisha wanachi .....ni mengi naogopa! Ila Godwin anajua fika ngoma anayoicheza na hivyo nasiisitiza anatucheza shere mbele ya camera! JF si sehemu salama sana ila kuna uozo mkubwa sana wa kutisha kwenye makampuni yote ya Wachina. Mitano tenaNimekuona ukipambana na Wachina wanaojenga barabara ya Mwendokasi huko Mbagala , sasa Wachina wale wa Mwendokasi wana nafuu mno kuliko hawa wanaojenga mtaro wa maji ya mvua kuanzia kule kwenye kiwanda cha bia cha Serengeti, haifahamiki walipataje kazi kubwa hivi kwa viwango vyao duni walivyoonyesha (nitachunguza)
Wachina hawa kiukweli hawaiwezi kazi waliyopewa, hebu jaribu kupita kila mahali walikopitisha mtaro wao kuanzia Chang'ombe , TCC Club, njoo kwenye Maghorofa ya nyuma ya Takukuru Temeke, njoo Keko, pita ndani ya gereza la keko, nenda hadi Keko Mwanga ujionee hasara waliyoisababisha ikiwemo vifo, usimtume mtu nenda mwenyewe ujionee, hii kampuni imesababisha nyumba za watu kubomoka kwa ujinga wao wa kuchimba mashimo makubwa na kuyatelekeza, spidi yao hata konokono ana nafuu , urefu wa mita 100 wanajenga kwa miezi 4, hivi ndivyo mlivyowaelekeza?
Hivi sasa barabara ya kwenda Gereza la Keko imefungwa kwa zaidi ya wiki 1 kutokana na kuchimba shimo kubwa ambalo wamelitelekeza, Wafungwa na Mahabusu sasa wanapitishwa vichochoroni kwa vile wachina wanalindwa, huoni hii hatari? Nimejionea mwenyewe baada ya kutaabika kufika gerezani kumuona mahabusu ndugu yangu ambaye nilitaarifiwa kwamba anaumwa.
Hatari iliyo kwenye mradi huu ni kubwa kuliko maelezo yangu, hebu DC nenda kajionee mwenyewe.
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Hio ni cha mtoto ndugu! Wachina kwa Tanzania hakina wa kuwagusa. Tuna shuhuda nyingi za kutisha ila utasemea wapi? Naomba nikae kimya Nina watoto na Mimi sina hata hizo mendeWachina waliopo hapa Tz ni kama "miungu".
Hapa Mkuranga yote,viwanda vya wachina ni hatari. Nina watu "wanasukuma" mende zangu hapo Goodwill,wanakwambia ni hatari. Hawana vibali wala nini,wanafanya Tanzania kama "Wuhan".
Angalia hata body language ya Godwin. Hadi HR akamcheka kwasababu anajua anafake kwa umma( huenda hahusiki) ila mafuta ya nagari yao wanajaziwa na Wachina hasa askari police. Sasa uwe na tatizo uende kwa OCDWachina huwa wanahonga sana watendaji wa serikali.
Siyo siri.