Tetesi: Mkwamo wa Uteuzi wa wagombea EALA- CCM (Ngoja niwape mbinu)

Tetesi: Mkwamo wa Uteuzi wa wagombea EALA- CCM (Ngoja niwape mbinu)

Mkuu Tate Mkuu, kwanza asante kuniombea kupitishwa

Mimi sikipiganii chama, kwasababu CCM haihitaji kupiganiwa! iko imara as fit as fiddle!. Na ikitokea mimi ndie nikapitishwa, niwe nimepitishwa kwa kukidhi sifa na vigezo na sio kwa kukipigania chama!.

Kivipi?, ili kionekane kama kipo imara!, kwani chama hakipo imara?, kivipi?. Kwa maoni yangu kwa sasa chama kiko imara kuliko hata enzi zile!.
P
Paskali ndugu yangu huwezi penya.ujue maandiko yako watu huwa hawayaelewi mpaka uwe umesoma fasihi,wengi hudhani wewe ni CCM ila kwa maandishi yako wewe ni mpinzani mzuri tu.

Hicho ndio kitakuponza
 
Vipi kuhusu kuleta tume huru ya uchaguzi kila mtu apate haki yake sawia?
Mimi sio double agent, bali ni hawa CCM mpya, contemporary, ambao ni wapenda haki, tunataka CCM ishinde kwa haki, na CCM kama chama tawala, kina wajibu wa kulea upinzani na hata kuwaachia bure kabisa baadhi ya majimbo.
Miongoni mwa ushauri wangu mzuri na wa haki kwa chama changu ni huu Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa! na huu Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi
P
 
Paskali mbona huleti mrejesho. Au mtasingizia mmechelewa kutoa majina ya wagombea kutokana na Msiba wa Malkia Elizabeth??
 
Hii ni kada mpya ya wana CCM, wakweli, wasomi, waadilifu, hawatoi rushwa hata senti tano kutafuta uongozi!, that is me!. Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
P
Hapa mkuu umechapia.CCM hawajashinda kwa haki kuwa mkweli.ndio maana hawa vijana wanasema umekuwa mnafiki siku hizi.wewe sio yule Mayalla wetu huyu wa sasa ni mwingine kabisa baada ya kuhojiwa na Bunge.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Paskali ndugu yangu huwezi penya.ujue maandiko yako watu huwa hawayaelewi mpaka uwe umesoma fasihi,wengi hudhani wewe ni CCM ila kwa maandishi yako wewe ni mpinzani mzuri tu.

Hicho ndio kitakuponza
Mkuu Mdukuzii mimi ni CCM damu ambaye ni CCM Nyerere type, hivyo ni mkweli daima na tunataka CCM ishinde kwa haki hivyo kuna maeneo mengi lazima CCM ibadilike.

Kwenye kugombea uongozi kuna nafasi ukiteuliwa ni hisani, ukiwomo ubunge wa Bunge la JMT, anyone can be hata mtu wa darasa la 7. EALA sio ubunge wa kisiasa na wala kugombea kwangu sio kugombea ili kutafuta hisani ya CCM nihurumiwe!. No!. Nimegombea kwasababu naweza, kukitokea wenye sifa kuliko mimi nakatwa, kule hatuhitaji kupeleka makada, tunahitaji kupeleka ma pro kwenda kulisaidia taifa.

All the best mimi binafsi nakuombea kila la heri.you deserve
 
Paskali mbona huleti mrejesho. Au mtasingizia mmechelewa kutoa majina ya wagombea kutokana na Msiba wa Malkia Elizabeth??
Duh...!, huwezi amini, huu msiba ndio nausikia kwako!. Siku ile Lady Diana anapata ajali, nilikuwa London tena a day before nilienda duka la Harrods ili kununua tuu kitu chochote!. The only thing I could afford was only a handkerchief!. Alipotangazwa amekufa wife wangu alilia sana, siku hiyo nikashindwa kwenda kazini!. Next day nilipoulizwa nikaitoa sababu hiyo, nikaulizwa "are you a royal?, you are fired!".

Ngoja tujipange kuhudhuria a royal funeral, Prince William ndio the next King!.
Msiba mkubwa sana huu!.
P
 
Mkuu Tate Mkuu, kwanza asante kuniombea kupitishwa

Mimi sikipiganii chama, kwasababu CCM haihitaji kupiganiwa! iko imara as fit as fiddle!. Na ikitokea mimi ndie nikapitishwa, niwe nimepitishwa kwa kukidhi sifa na vigezo na sio kwa kukipigania chama!.

Kivipi?, ili kionekane kama kipo imara!, kwani chama hakipo imara?, kivipi?. Kwa maoni yangu kwa sasa chama kiko imara kuliko hata enzi zile!.
P

Kiko imara kwa mbeleko ya vyombo vya dola. Nimependa hapo jamaa alipokuambia umeamua kuishi kinafiki ili chama kuonekana kiko imara. Hivi huwa najiuliza wanaume wenzetu huwa mnakwama wapi, mbona mnajipendekeza sana mpaka mnatia kinyaa? Ni kweli hamna ujanja mwingine zaidi ya kujipendekeza ili njia ya kuendea chooni isiote majani?
 
Hapa mkuu umechapia.CCM hawajashinda kwa haki kuwa mkweli.ndio maana hawa vijana wanasema umekuwa mnafiki siku hizi.wewe sio yule Mayalla wetu huyu wa sasa ni mwingine kabisa baada ya kuhojiwa na Bunge.
Kanisome hapa
Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa! na hapa Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi
P
 
Back
Top Bottom