Mkwara wa Rais Magufuli, Maalim Seif anyimwa posho ya matibabu!

Mkwara wa Rais Magufuli, Maalim Seif anyimwa posho ya matibabu!

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Kwa mujibu wa RAIA TANZANIA, Maalim Seif Augwaya Mkwara wa Magufuli..Aenda Kwenye matibabu bila posho , Maombi yake yadunda ofisini kwa Dr Shein
3.jpg
 
This is not fair,Mungu anawaona!Seif kumchunia Shein sio jambo la ajabu coz watu hawa wana tatizo kubwa,badala ya kutafuta suluhu kama alivyofanya JK unaongeza mpasuko alafu unasubiri Zanzibar
 
Na sheni na seif idd ni waginjwa kuliko seif.....wakumbuke hujaumbika kabla hujafa...nao sijui magu atakuja kuwalipia siku upepo ukibadilika
 
CUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!
Hata akiwa yu kitandani tutampa kura zetu...atachaguliwa na hashindwi.
Mtafanya mapinduzi kila uchaguzi mwisho mtajipundua wenyewe
 
Tunasubiri ile kesi waliyofungua kwanza iishe ndipo katiba ifatwe kwani haki kwa wote
 
Back
Top Bottom