Mkwara wa Rais Magufuli, Maalim Seif anyimwa posho ya matibabu!

CUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!
Anashindwaa au ananyang'anywa ?!
 
Ndo maana mambo mengi yanatakiwa yawekwe kwenye katiba ili kuondoa hili la utashi wa mtu mmoja kuendesha nchi....
 
huyu jamaa me simpend kabisa yani!!!!!! acha tu niishie hapo sina milioni 7
 
CUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!

Maalim Seif ni mbwiba wa siasa za Zanzibar amekuwa akishinda ktk chaguzi zote lakini mnamwibia na kumdhulumu mchana kweupe.
 
CUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!
Unajisikiaje unapoenda nje ya mada..??
 
CUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!
Hahahahaha eti sera mbovu mmesahau kama mlitumia jeshi kumteka kiongoziwa tume baada ya kushindwa vibaya
 
Wakati Seifu anakataa mkono wa Dr Shein mlifurahi mkasema ni Jambo zuri, Hamkujua ile inaongeza mpasuko. Leo yanatokea haya mnasema shein anaroho mbaya. Mungu anasema Patana kwanza na Nduguyo alafu peleka maombi yako. Kwa hali ilivyo ata muombe vip, mabaya ningumu kumkuta shein kwakua Seifu alikataa kupokea mkono wa Amani Labda mtumie mitishamba.
 
Inaongeza mpasuko upi

Kwani hao waliopindua maamuzi ya wananchi hawakujua wanachokifanya??
 
Sidhani kama dini ya Dr. Shein inafundisha roho mbaya kiasi hiki.
 
Nchi kama familia ya mtu mmoja ata sheria inayotoa stahik kwa mtu inavunjwa..Yaani inaendeshwa kama mradi wa nanasi Geita, unavuna unavyotaka.Sawa ila mchochezi namba moja anajulikana.
 
Angeacha kwenda kwenye matibabu,kwani ataishi milele?
Tanzania inabadilika kwa haraka sana!!
 
Wakati Seifu anakataa mkono wa Dr Shein mlifurahi mkasema ni Jambo zuri, Hamkujua ile inaongeza mpasuko. Leo yanatokea haya mnasema shein anaroho mbaya. Mungu anasema Patana kwanza na Nduguyo alafu peleka maombi yako. Kwa hali ilivyo ata muombe vip, mabaya ningumu kumkuta shein kwakua Seifu alikataa kupokea mkono wa Amani Labda mtumie mitishamba.
Kukataa mkono wa mtu haipo kwenye katiba kwamba amevunja sheria fulani.... posho ni ishu ya kikatiba... kama hayo yametokea maana yake katiba imevunja... na hayo ndo matokeo ya kuendesha nchi kwa utashi wa mtu mmoja... anachoona leo kinafaa anafanya...
 
CUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!
Unajua tofauti ya kushindwa, au kunyimwa???
 
Ee Mungu achilia roho ya hekima kwa viongozi wetu wasitugawe Bali watuunganishe watanzania ktk msingi mkuu wa UPENDO chuki na faraka pamoja na visasi kutokusamehe visiwe ndani mwao wafate sheria na utaratibu tuliojiwekea
 
hivi mnakumbuka yule mwl mbabe alogombana na mwanafunzi wake mwanafunzi kwa asira kampiga mwl bonge la jiwe ubavu ndo matatizo ya sasa! wagonjwa tufarijiane mambo ya kunyanyasa mwenzio ukijua ni siri tuache! tucheze na mengine ila sio ugonjwa
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom