Mkwara wa Rais Magufuli, Maalim Seif anyimwa posho ya matibabu!

Mkwara wa Rais Magufuli, Maalim Seif anyimwa posho ya matibabu!

This is not fair,Mungu anawaona!Seif kumchunia Shein sio jambo la ajabu coz watu hawa wana tatizo kubwa,badala ya kutafuta suluhu kama alivyofanya JK unaongeza mpasuko alafu unasubiri Zanzibar
Kwani posho ni stahiki?
 
Hizi chini si nzuri kabisa hasa pale kiongozi mkuu anayetegemewa kuwa kiungo baina ya watu wake anapokwenda kinyume na martarajio. Sidhani kama kukomoana kutatufikisha kokote kuzuri
 
Sidhani kama nchi inaongozwa na mtu mzima kiakili nina wasiwasi sana
 
Alivyokuwa anawatukana wakubwa alidhani mchezo magufuli siyo wa kuchezewa hata chembe atakaa tu.
Mbona Magufuli mwenyewe anakiplastic kwenye Moyo ana uzima gani asimtanie Mungu haya ni maisha tu leo kwa Seif kesho kwake madikteta wote duniani wamekufa kwa aibu kubwa
 
Uungwana na ustaarabu nizawadi toka kwa Mungu,sikilamtu amejaaliwa!
Loyalty Is a very expensive gift dont expect it from cheap people!!!
Weak people revenge,strong people forgive,intelligent people ignores!!!
Ukiwa kiongozi inafaa kupitia misemo ya wenye busara Kama hii na kujifunza humo...
 
Baba yetu uliye mbinguni,
jina lako litukuzwe,
ufalme wako ufike,
utakalolifanyike dunia kama mbinguni,
Utupe leo mkate wetu wa kila siku,
utusamehe makosa yetu,
kama tunavyowasamehe waliotukosea
,
usitutie katika vishawishi,
lakini utuokoe na huyo mwovu,
Kwa maana ufalme ni wako, na nguvu hata milele,
Amina.

Hapo kwenye rangi nyekundu watu wengine wawe wanaparuka wanapofikia hapo, maana matendo yao hayako kikristo kabisa. Kwa ufupi ni mashetani!! Na ninashangaa eti nayo yanapanga mstari kwenda kukomunika, shame on them! Ingekuwa inaruhusiwa Mapadre wetu wangekuwa wanawaruka wakati wa Komunyo. Ni wakati gani huwa wamejitayarisha kupokea Ekaristi Takatifu wakiwa wasafi wa moyo?
 
Sikubaliani na huu Unyama anaofanyiwa Maalim Seif ila kama ni kweli.

Maana Magazeti ya Bongo ili uyaamini unatakiwa uwe na roho ya kiwendawazimu
 
Uungwana na ustaarabu nizawadi toka kwa Mungu,sikilamtu amejaaliwa!
Loyalty Is a very expensive gift dont expect it from cheap people!!!
Weak people revenge,strong people forgive,intelligent people ignores!!!
Ukiwa kiongozi inafaa kupitia misemo ya wenye busara Kama hii na kujifunza humo...
Asanteeeee! Umeua mkuu! Na kwa nyongeza tu ni kwamba "Common sense is not common to everybody"
 
Hii ni porojo tuu. Zanzibar ina katiba na sheria zake. Msitafute mchawi, JPM ahusiki nazo. Labda Ukileta fyokofokyo kwenye ulinzi na usalama, kuhatarisha amani na utulivu, hapo utarukiwa kama mwewe popote ulipo hata kule bwejuu.
 
Huu ni unyanyasaji. Na Karume anyimwe pia
Wewe una uhakika gani kanyimwa?Hilo gazeti ndio taarifa ya ikulu? Inawezekana malipo yako kwenye "mchakato" yeye anataka papo kwa papo....awe na subra atapata inshaallah.
 
ONYO. ..USIUKATE MKONO UNAOKULISHA. ..CHEZEA JPJM. ..HAPA KAZI TU
 
Back
Top Bottom