Mkwara wa Rais Magufuli, Maalim Seif anyimwa posho ya matibabu!

Mkwara wa Rais Magufuli, Maalim Seif anyimwa posho ya matibabu!

Serikali za nchi nyingine ziko kwa zaidi ya miaka 400 na misingi waliyoiweka wakati huo ndio inawasaidia kuheshimiana leo. Nasi tukifurahia misingi hii ya visasi basi tujue wazi ndiko future yetu inakoelekezwa!
 
na wale waliomzomea Makufuli Mbeya nadhani nao wanyimwe maendeleo kwa msingi huu..
maana kumzomea mtu ni zaidi ya kumnyima mkono..
kwa hiyo si vibaya tuelekee mbeya tukawatumbukize hata kisimani wale raia..
wanywe maji weeeeee !!
 
Ushahidi wa udikteta unazidi kukusanywa siku flan akienda Ulaya na Marekani ndo atawafahamu vizuri waandishi wa kimataifa ,
 
Mbona Magufuli mwenyewe anakiplastic kwenye Moyo ana uzima gani asimtanie Mungu haya ni maisha tu leo kwa Seif kesho kwake madikteta wote duniani wamekufa kwa aibu kubwa

Hivi kweli mnaujua udikiteta kweli? Au mnakariri
Angalia Cuba,Korea kaskazini,Saudi Arabia,Singerpore,Laos Na nchi nyingi duniani
Tafadhali Google hizo nchi Halafu utajua
 
na wale waliomzomea Makufuli Mbeya nadhani nao wanyimwe maendeleo kwa msingi huu..
maana kumzomea mtu ni zaidi ya kumnyima mkono..
kwa hiyo si vibaya tuelekee mbeya tukawatumbukize hata kisimani wale raia..
wanywe maji weeeeee !!
Mbeya tunajiendesha serikali haijawahi kuweka mipango mikubwa yeyote ya maendeleo lakini tupo na tunaishi na maisha wetu wachapa kazi namba one nchi hii tunalisha nchi
 
Hivi kweli mnaujua udikiteta kweli? Au mnakariri
Angalia Cuba,Korea kaskazini,Saudi Arabia,Singerpore,Laos Na nchi nyingi duniani
Tafadhali Google hizo nchi Halafu utajua
ndio wako sawa na magufuli hamna tofauti
 
Mbona Magufuli mwenyewe anakiplastic kwenye Moyo ana uzima gani asimtanie Mungu haya ni maisha tu leo kwa Seif kesho kwake madikteta wote duniani wamekufa kwa aibu kubwa

Unachonganisha Serikali na Wananchi ni Makosa kisheria
 
Je siku CUF wakishika nchi watawafanyia nini viongozi wastaafu wa CCM?
 
Kwa mujibu wa RAIA TANZANIA
View attachment 403311
Hatimaye itafika mahali ataenda kutibiwa kienyeji asipotumia teknik ya Lowassa ya kumuunga mkono JPM kila mara.

Kama katika kipimo cha ritcher cha tetemeko la Bukoba kilikuwa 5.7 cha mkwara wa JPM ni 2.85 lazima Seif atikisike.
 
Ushahidi wa udikteta unazidi kukusanywa siku flan akienda Ulaya na Marekani ndo atawafahamu vizuri waandishi wa kimataifa ,

Newsletter Pics - Thumbnail =>- CUF_at_LI_2016.jpg CUF leader at LI: Democracy in Tanzania in serious danger
Monday 11 July 2016 18:07
The winner of last October's elections in Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, along with a high-level delegation from Liberal International's (LI) full member in Tanzania - the Civic United Front (CUF) - started his European tour at LI headquarters. The CUF delegation raised the alarm about the increase in human rights violations in ‎Zanzibar - including detention without trial and limiting freedom of expression.

"What is happening now is oppression” said the CUF Secretary General Seif Sharif Hamad. He discussed the peaceful and democratic resistance by the opposition after having had their election victory snatched by the government of ‎Tanzania in October 2015. The Zanzibari leader warned that “the government is acting to make sure that CUF is not operating," and called on the international community to recognise and “act to prevent” the potential instability that the denial of democracy might lead to in an already volatile region.

Welcoming the delegation to the international house of liberalis, LI Secretary General Emil Kirjas reminded of the immediate reaction of the LI President Dr Juli Minoves after the October 2015 elections, when he sent an unequivocal message to the Tanzanian authorities to “respect and ratify the electoral will of Zanzibaris” and to “celebrate plural democracy”.

On behalf of LI, Kirjas expressed his full support to the Tanzanian colleagues saying “you are not alone in this struggle.” LI Secretary General said: “All of us in the international liberal community will do everything in our power to ensure that your lives are protected and that the expressed will of the majority of the people of Zanzibar will be respected in the end and that the Civic United Front with Maalim Seif will be forming a government of development and prosperity of Zanzibar.”
 
Raiamwema mbona inatuvua nguo mbele ya macho ya ulimwengu, kwani huwezi kutangaza hadharani dhulma,
 
Kupatwa kwa kukimbizana like majirani zetu magharibi.
 
Seif ni mfanyakaxi mkongwe wa umma, kautumikia umma wakati viongozi wa sasa wapo shule, na mpaka sasa anautumikia umma na niseme isingekuwa busara ya kuwatuliza wa znz, leo sijui... lakini ipo siku kama ilivyo kwetu sote ataenda kwa Mola wake, na hapo tena... Na hapo tena.. .. nawaachia wanahistoria wa baadae...
 
Mwanzilishi wa slogan ya "jino kwa jino" imemgeukia kwa kasi ya ajabu! Hii ndiyo karma kwa mujibu wa Pasco au?
 
Back
Top Bottom