Mkwasa na Yanga yako mtamkumbuka Molinga.Tushachelewa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wakatii KIJANA wawatu akibaki dar wakati WA covid akijua anasubiria kuongezewa MKATABA

LA hasha Hali ikawa TOFAUTI kabisa kabisa KIJANA akaonekana hafai haitajiki kabisa yanga

Wapoo waliotamani avunje hata MKATABA aondoke

Si mwingjne n KIJANA Molinga WA ndanda AMBAE alionekana hafai ujio WA Morrison leohii ndiee anawapeleka yanga step nyingine kombe LA Adam

Nn tumejifunza Yanga mchezaji alietangulia aheshimiwe at a AKIJA ronaldo BADOO walewazamani mjue thamani ZAKO

LEOO hii molinga ameshasaini MKATABA WA awali Morocco Hatuna njiatena kumpata Molinga

Tutakukumbuka daimaa NAJUA umetoa funzo KUBWA kaka kwa viongozi WA Yanga WENYE kudharau wachezaji kama wewe ...

MUNGU akubarikisana sana
 
Kwani GSM anafanya kazi gani hapo?.
Kwanini msimtafute mtu kama MPO mkamkabidhi timu na ikaongozwa kisasa.
Kuliko kulazimisha timu iwe ya wananchi alafu hamna HELA?.
Ni AIBU.
Hayo mambo ya madai kwa wachezaji hauwezi kuyasikia simba
atapewa mkuu ngoja tuchukue kombe la AZAM
 
Umenikumbusha manji kila siku tulikuwa tunatajiwa tarehe ya kurudi yanga waligoma kufanya uchaguzi wakitegemea atarudi
ila timu ikarudi kwa wana nchi na march 8 wakamtia mtu cha nguruwe unakumbuka pia.
 
Kwani GSM anafanya kazi gani hapo?.
Kwanini msimtafute mtu kama MPO mkamkabidhi timu na ikaongozwa kisasa.
Kuliko kulazimisha timu iwe ya wananchi alafu hamna HELA?.
Ni AIBU.
Hayo mambo ya madai kwa wachezaji hauwezi kuyasikia simba
unakaa kijijii nini...Nyoni,Gadiel na mwingine nimemsahau waligoma kwa ajili ya nini....Mo ataicha mikia fc njiani kumbuka hii tarehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…