Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Wakatii KIJANA wawatu akibaki dar wakati WA covid akijua anasubiria kuongezewa MKATABA
LA hasha Hali ikawa TOFAUTI kabisa kabisa KIJANA akaonekana hafai haitajiki kabisa yanga
Wapoo waliotamani avunje hata MKATABA aondoke
Si mwingjne n KIJANA Molinga WA ndanda AMBAE alionekana hafai ujio WA Morrison leohii ndiee anawapeleka yanga step nyingine kombe LA Adam
Nn tumejifunza Yanga mchezaji alietangulia aheshimiwe at a AKIJA ronaldo BADOO walewazamani mjue thamani ZAKO
LEOO hii molinga ameshasaini MKATABA WA awali Morocco Hatuna njiatena kumpata Molinga
Tutakukumbuka daimaa NAJUA umetoa funzo KUBWA kaka kwa viongozi WA Yanga WENYE kudharau wachezaji kama wewe ...
MUNGU akubarikisana sana