Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walipoamia upande mmoja wakufanga ile ya kwanza wakafungua ya upande wa pilikwaiyo star walizuiwa kucheza upande mwingine wa uwanja!
Kwahiyo mvua ingenyesha tungepigwa 100 si ndiyo issue ni maji....
walipoamia upande mmoja wakufanga ile ya kwanza wakafungua ya upande wa pili
Kocha wa Kilimanjaros stars amedai tatizo kubwa la timu yake kupoteza ni hujuma walizofanyiwa na Algeria moja wapo ni kuwepo kwa koki za maji uwanjani (pitch).
Walifanya michezo hii kwenye upande stars na kubadilisha tena koki kufuata upande wa stars kwenye second half.
Nini maoni yako mwana michezo mwenzangu?
ungeniambia kuwa goli saba ni kitu cha kawaida ningekuelewa, sasa unasema wenzetu walijiandaa na mechi ya brazil na ujerumani nani alifungulia koki?Mueleweni kocha, ni kwamba wale jamaa walijiandaa kufanya fitna, wao wakavaa viatu vya kucheza kwenye mvua na sisi hatukujiandaa kwa hilo, goli 7 tumepigwa, hata Brazil alichapwa hizo7 na siku hiyo stars anafungwa kuna nchi ipigwa 10-0, mwacheni mkwassa afanye kazi yake, Tff waitafutie timu mechi nyingi za majaribio hasa nchi za magharibi.