Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
..............Tanzania Rostam Aziz kila kukicha ana wezi mpya lakini iko kimya na support anapewa .Sisis tuna lalamika lakini bado tunatumia huduma za simu za Vodacoma ambazo yeye ni mmoja wa share holders .Kama tuna uchungu kweli na huyu ambaye analindwa na CCM na serikali yake , tuhamie sote kwenye tigo ama zantel ama Celtel .Hii itakuwa njia nyingine ya sisi kuonyesha kwamba tumechoka kuibiwa na kuzidi kukamuliwa kila mara .Mimi nimesha hama na huhu unakaribia mwaka tangia nimejua kwamba Rostam anatumaliza bado na vodacom yumo .Mie natumia Zantel sasa na Celtel .Je wewe unangoja nini ?Tuambiane tuachana nao hawa .Wanatuona wajinga katika maamuzi yao je waendelee kutuona wajinga hata katika pesa zetu wenyewe za kutumia katika simu ?
Hili ni wazo zuri lakini kama kuna uwezekano wa kufahamu kiasi cha share zake ingekuwa vema kabla ya kuchukua hatua. Ila mgomo kwa vyombo vyake vya habari (magazeti ya Rai, Mwanchi n.k.) ni vema ukaanza mara moja pamoja na biashara zake nyingine. Hii isiishie kwa Rostam tu, bali iendelee kwa biashara za wengineo zinazofahamika.