Kumbe we kilaza?Nyie hamjui.
Unakuta Uzi una koment mf 4
Koment y a 1 ina ...likes 60
Koment ya 2 ina ...likes 00
Komenti ya 3 ina ...likes 58
Ivi uyo wa koment namba 2, kila akiisoma na hauna likes, siunaishia kujiona Bonge La Kilaza.
Mimi naona, mkwepu jr aendelee kugonga likes tu......
Kwa sababu niyeye afanyae vilaza kama mimi, nasie tujione tuna wafuasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ya malimao na tangawizi
Mambo
Hahahaahahahah
Ni cha raia wa kawaida kabisaa, wakubwa wanafaidi robot
Hapana sikujua, I thought you are the smartest man ever. Poa mzima weweWewe wajua ni kilaza wa aina gani ..ingawa kilaza ni kilaza tu Mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhhh smartest ever .. vyenye sijui mambo Mengi ? Hapana hapo nitakua ama naongopa au wewe unakosea kunitazama.Hapana sikujua, I thought you are the smartest man ever. Poa mzima wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaposema smartest sijamaanisha kuliko watu wote. You know what I mean right?Mmhhh smartest ever .. vyenye sijui mambo Mengi ? Hapana hapo nitakua ama naongopa au wewe unakosea kunitazama.
Am just live and learn .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha sasa nmekuelewa vzuri , duuuhhh hiki kichwa sijui kilikua kinawaza nn mama !!.Ninaposema smartest sijamaanisha kuliko watu wote. You know what I mean right?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha si ndio nilikuwa nakushangaaHahahahahaha sasa nmekuelewa vzuri , duuuhhh hiki kichwa sijui kilikua kinawaza nn mama !!.
Of course ktk Dunia yako pekeako ni Mwanaume Smartest !.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya babaSindo uzuri wa kuwepo wewe mwanamke mwenye Akili...huoni umenielewesha nimeelewa ?.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] MwanaaaNyie hamjui.
Unakuta Uzi una koment mf 4
Koment y a 1 ina ...likes 60
Koment ya 2 ina ...likes 00
Komenti ya 3 ina ...likes 58
Ivi uyo wa koment namba 2, kila akiisoma na hauna likes, siunaishia kujiona Bonge La Kilaza.
Mimi naona, mkwepu jr aendelee kugonga likes tu......
Kwa sababu niyeye afanyae vilaza kama mimi, nasie tujione tuna wafuasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkwepu jr yeye huja kufanya usawa .[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mwanaaa
Kwamba Uzi Una Replies 4 tuu alaf still Wat hawajakuelewa Hahahahh
I'm on that good kush and alcohol
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nikunywe nishibe