Mkwepu Jr The Creep

Mkwepu Jr The Creep

Nyie hamjui.

Unakuta Uzi una koment mf 4

Koment y a 1 ina ...likes 60

Koment ya 2 ina ...likes 00

Komenti ya 3 ina ...likes 58

Ivi uyo wa koment namba 2, kila akiisoma na hauna likes, siunaishia kujiona Bonge La Kilaza.

Mimi naona, mkwepu jr aendelee kugonga likes tu......

Kwa sababu niyeye afanyae vilaza kama mimi, nasie tujione tuna wafuasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe we kilaza?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mwanaaa
Kwamba Uzi Una Replies 4 tuu alaf still Wat hawajakuelewa Hahahahh

I'm on that good kush and alcohol
 
Hahahah unakuta umeandika ulikua umetoa Neno konki...kumbe wanaosoma wanaona umetoa bokoooo ..hupewi like hata moja
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mwanaaa
Kwamba Uzi Una Replies 4 tuu alaf still Wat hawajakuelewa Hahahahh

I'm on that good kush and alcohol
Sasa mkwepu jr yeye huja kufanya usawa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom