Ona[emoji116]Kuna huyu mwanachama mwenzetu anaitwa Mkwepu Jr huwa sijawahi kumuelewa, yeye yupo kila sehemu na anagonga LIKE TU bila kuchangia mada yoyote ile. Halafu huwa anagonga LIKE muda ambao wengine wameacha kuchangia, kinachoniuma moyo sana ni kwamba huyu mwenzetu hata uzi uwe na kurasa 1000 atagonga LIKE kwenye kila changizo.
Wewe jamaa mkwepu jr you are very very creepy , hilo lipicha lako la kugidevu guligojaa mindevu pamoja na hizi tabia zako unafanya sisi tufikirie kwamba you are kinda twisted. Wewe mwana hebu acha hizi michongo: Juzi nimeona umegonga LIKE kurasa zaidi ya 2000 halafu muda ambao wenzako wameacha kuchangia halafu hukuchangia kitu.
Dude, you're so creepy.....
Embu ngoja kwanza.😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]nafikiri kwenye zoezi la kuleta mahari utakuja nae eeh[emoji275]
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu ngoja kwanza.[emoji3][emoji3]
Tuache hizi habari nimekwambia, mbona huelewi?😌[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba umeshatumia hela? da Sakayo mtu mzuri hana shida atakuazima
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji6]
Hiyo niliiona juzi, nikamuuliza Kumbe wewe ni mtu!
SielewiEmbu ngoja kwanza.[emoji3][emoji3]
Hebu ngoja kwanza![emoji23][emoji23][emoji23]kwamba umeshatumia hela? da Sakayo mtu mzuri hana shida atakuazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuache hizi habari nimekwambia, mbona huelewi?[emoji18]
Mimi mshenga tu muoaji mwenyewe haeleweki.
Mafuta ya mwilini kaka, ukijifukiza mafuta yanatokaa
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hahahaahahah
Ndio yenyewe hiyo kumbe nataka kuondoa mafuta mwilini mimiMafuta ya mwilini kaka, ukijifukiza mafuta yanatokaa
Wewe yaondoe tuu jamani
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
now i can breathe[emoji4][emoji4] ndo maana nakupenda sanaHahahaahahah
Unajuta nini eti jamani love, kama alikuambia atakuoa ondoa shaka kabisaa, atakuoa tuu atake asitake!!
troublemaker
Haya