Mkwepu Jr The Creep

Mkwepu Jr The Creep

Si yale niliyokuuzia pale gengeni asubuhi ukasema unaenda wapa mbwa ili wawe wakali, kumbe umekula wewe....
Haya ona sasa unavyonitia aibu huku.πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ƒ
Mama ndiyo amekwambia nimekula ?
Basi amekuongopea sana ili aje peke yake huku.
 
Back
Top Bottom