Mkwepu Jr The Creep

Mkwepu anang'oa vyuma tu[emoji23][emoji23]

Ila jamaa namkubali kwa kutoa like usikute anatenga kabisa siku ya kutoa like na hapa tukiamka kesho tutakuta keshafanya yake halafu anapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo kipawa chake... Sisi wazee wa kuanzisha mada tunaonekana kero sasa kwa kuitwa wajuaji
Dhima ya kupost usiku! Wapishi wa JF - JamiiForums
Jr[emoji769]
Mkuu Mshana Jr mimi binafsi nakubali sana mchango wako mkubwa hapa jukwaani. Hakuna uzi unaoanzisha halafu usiwe INCLUSIVE, yaani unagusa watu wa daraja zote.

Kuitwa mjuaji ni suala la kawaida sana hapa jukwaani hivyo inabidi uvumilie tu, binafsi nimeshuhudia wewe ukishambuliwa mara nyingi inafika hadi wakati unajiuliza hawa watu wanamfahamu huyu jamaa nje ya hapa, mbona wanakuwa na chuki naye sana.

Ila kuna kitu nimejifunza kwa uwepo wangu hapa JF kwa zaidi ya miaka 13 sasa, wale wachangiaji wa zamani waliokuwa na michango ya msingi sana na yenye kujenga siku hizi wengi hawachangii sana na kama wanachangia basi wamebadilisha ID au wamekuwa ni watu wa kushinda kwenye majukwaa ya burudani ambapo hawachangii sana.

Angalia wakuu kama Kiranga siku hizi hawachangii sana tofauti na miaka ya nyuma ambapo alikuwa ni moto wa kuotea mbali. Siku hizi unaweza ukamwambia kitu akakuacha tu.

Hivyo vumilia tu ndugu yangu, sisi wengine tunathamini sana mchango wako. Walimwengu ndivyo walivyo........

BIG UP SANA KAMANDA MSHANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…