ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Kumbe nimepatia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Poa dear
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nimepatia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Poa dear
kuna siku ali like comment yangu muda huo huo nimeiandika na ilikua ndefu sana mpaka nikamwambia asome kwanza kabla haja like
Sent using Jamii Forums mobile app
Si yale niliyokuuzia pale gengeni asubuhi ukasema unaenda wapa mbwa ili wawe wakali, kumbe umekula wewe....
Haya ona sasa unavyonitia aibu huku.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji854]
Mkwepu anang'oa vyuma tu[emoji23][emoji23]Aisee bebe mwingine huyu hapa anampenda Mkwepu Jr
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa ana comment mara moja moja sana
Ukiona comment yake nistue nikatambike.
Ooh nilisahau kuwa wewe ni browser user.Mara nyingi saaana kwenye browser unaona
Hahaha...Bwana aliongea jamani kila mtu makapuku alishangaa halafu akawa anatoa tu likes hajibu quotes za watu
We unataka mkwepu jr awe anamfatilia kila sehemu aendako huyu mwanadada😂😂😂😂
Msalimie mkwepu bwana
Mkuu Mshana Jr mimi binafsi nakubali sana mchango wako mkubwa hapa jukwaani. Hakuna uzi unaoanzisha halafu usiwe INCLUSIVE, yaani unagusa watu wa daraja zote.Ndo kipawa chake... Sisi wazee wa kuanzisha mada tunaonekana kero sasa kwa kuitwa wajuaji
Dhima ya kupost usiku! Wapishi wa JF - JamiiForums
Jr[emoji769]
Katwanga likes nyingi sana...Vipi bado hajaja kuwapa like zenu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Katwanga likes nyingi sana...