Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
πππππ Ngoja nimsubiri kuleHuku hawezi kutia neno kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππ Ngoja nimsubiri kuleHuku hawezi kutia neno kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poa poa, lakini ngoja nimalizane kwanza na mama.Ohooooo.....
Nati zimelegea tenaππππ....
Ngoja nitaftea spana nyingne.
Naomba Link Pleasekuna siku ali like comment yangu muda huo huo nimeiandika na ilikua ndefu sana mpaka nikamwambia asome kwanza kabla haja like
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh
ππππhamnaaa hapa hapaaa...Poa poa, lakini ngoja nimalizane kwanza na mama.
Cha Arusha ndiyo nini ?ππππhamnaaa hapa hapaaa...
Mkuu unapiga cha arusha?πππππ
Hahaaaaa hiii kaliii.kuna siku ali like comment yangu muda huo huo nimeiandika na ilikua ndefu sana mpaka nikamwambia asome kwanza kabla haja like
Sent using Jamii Forums mobile app
MatembeleCha Arusha ndiyo nini ?
Siyafahamu! ndiyo manini hayo ???Matembele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lile robot
Si yale niliyokuuzia pale gengeni asubuhi ukasema unaenda wapa mbwa ili wawe wakali, kumbe umekula wewe....Siyafahamu! ndiyo manini hayo ???
Mzee wa fitna
za kunisusa ? umesababisha nimejaza simu yangu nyimbo za Mario za kulia lia
Mama ndiyo amekwambia nimekula ?Si yale niliyokuuzia pale gengeni asubuhi ukasema unaenda wapa mbwa ili wawe wakali, kumbe umekula wewe....
Haya ona sasa unavyonitia aibu huku.ππππ
ngoja niitafute mkuuNaomba Link Please
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
We na marioo wapi na wapi ebu msikize koffi na corona virusza kunisusa ? umesababisha nimejaza simu yangu nyimbo za Mario za kulia lia
Poa poa fanya kuileta, ili tuusome mwandiko wake.ngoja niitafute mkuu
Hapana nyimbo za Mario ndio zinaendana na hali uliyonipa,zamani nilimsikiliza Koffi kwa sababu ulikuwepoπWe na marioo wapi na wapi ebu msikize koffi na corona virus