Mkwepu Jr The Creep

Mkwepu Jr The Creep

Mama ndiyo amekwambia nimekula ?
Basi amekuongopea sana ili aje peke yake huku.
😝😝😝😝😝😝umekula mzee kua mkweliii...
maana hueleweki unaenda mbele nakurudi,
mara upate moto mara upoe,
mara uongee kiingereza mara kiswahili,
mara utukane mara ukae sawa....
hizo zote ni dalili za tembele

Wajumbe naomba mtusamehe, tunawekana sawa.
Naomba msamaha kwa niaba yake pia.
 
😝😝😝😝😝😝umekula bwanaa kua mkweliii...
maana hueleweki unaenda mbele nakudi,
mara upate moto mara upoe,
mara uongee kiingereza mara kiswahili,
mara utukane mara ukae sawa....
hizo zote ni dalili za tembele

Wajumbe naomba mtusamehe, tunawekana sawa.
Naomba msamaha kwa niaba yake pia.
Amekuongopea basi, maana nilichokula ni kile ambacho mama yako ilikinunua sokoni.
Sasa kama mama yako anakwambia nimekula hayo matembele basi atakuwa amekula yeye.
Halafu si unayauza wewe mwenyewe ?
 
Amekuongopea basi, maana nilichokula ni kile ambacho mama yako ilikinunua sokoni.
Sasa kama mama yako anakwambia nimekula hayo matembele basi atakuwa amekula yeye.
Halafu si unayauza wewe mwenyewe ?
Umeona sasaaa.. ndio shida ya ile kitu, inapanda na kushuka, Sasa hivi tuu itakutuma kutukana na kiingereza,

Wanajamvi Naomba msamaha kwa lolote atakalosema huyu ndugu yangu, nati zishaanguka hana anachoelewa hapa.😝😝😝.
 
Back
Top Bottom