Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kaja mpitanjia kafanya kama mkwezi kaliwa kichwa..! Maisha bila connection usijiamini sana.. Ama inategemea connection yako ina nguvu kiasi gani.
Mdomo koma! Tumefunzwa kukaa kimya ama kufungua kinywa kwa tahadhari kubwa..! Maneno ni ni kama risasi.. Hakuna rivasi Umemaliza weekend salama unajiandaa kesho ukaendee na majukumu yako.. Mara paap! Unaropoka ya kuropoka.. Chaap kwa haraka kabisa unaliwa kichwa.
Mojawapo ya waraka wa ufumbuzi mfupi kuliko yote! Huyu sidhani kama watamuacha salama.. Katika nyakati hizi halafu mtu anatoa boko kama lile..😂 shetani akikukataa utaongea yote na bila kujua kama yalikutokaje!
Zamani tukisikia kuna mchawi anakaribia kukata moto tulikuwa tunawahi eneo la tukio kupata uhondo..maana mchawi hakati roho mpaka aongee maovu yake yote
Aliroga wangapi
Majina yao ni nani
Aliuwa wangapi na majina yao ni akina nani nknk
Chama chawala kiko mahututi hizi kauli za makada wake kuhusu maovu waliyowahi kufanya kwenye chaguzi mbalimbali ni sawa na mchawi anayekaribia kukata moto
Huu ni mwanzo tuu bado hawajasema wote.. Hawajasema yote..!
Alamsiki Tanganyika!