Mkwezi tungi kalitia maji lakini kaachwa

Kama kuna mtu ambaye siyo muoga ni mimi😂
 
Head ze goo
Kama ambavyo mchawi hapaswi kueleza wachawi wanarogaje, ndivyo ambavyo haipaswi duniani wala ahera kwa mtu wa kitengo kueleza hadharani jinsi #sanaazakiza a.k.a #darkarts zinavyofanya kazi.

Kiintelijensia, zinaitwa "sources and methods" a.k.a. "tradecraft" a.k.a "spycraft", kwa lugha nyepesi ni "the art of spying".

Huyo mzembe is learning the hard way...just because of clout. Alitaka kuonekana mtu muhimu kwa madiwani.

Ndo tatizo la kitengo kujaza watu wasiojielewa. It's a scam 😡
 
Kaja mpitanjia kafanya kama mkwezi kaliwa kichwa..! Maisha bila connection usijiamini sana.. Ama inategemea connection yako ina nguvu kiasi gani.

Mdomo koma! Tumefunzwa kukaa kimya ama kufungua kinywa kwa tahadhari kubwa..! Maneno ni ni kama risasi.. Hakuna rivasi Umemaliza weekend salama unajiandaa kesho ukaendee na majukumu yako.. Mara paap! Unaropoka ya kuropoka.. Chaap kwa haraka kabisa unaliwa kichwa.

Mojawapo ya waraka wa ufumbuzi mfupi kuliko yote! Huyu sidhani kama watamuacha salama.. Katika nyakati hizi halafu mtu anatoa boko kama lile..😂 shetani akikukataa utaongea yote na bila kujua kama yalikutokaje!

Zamani tukisikia kuna mchawi anakaribia kukata moto tulikuwa tunawahi eneo la tukio kupata uhondo..maana mchawi hakati roho mpaka aongee maovu yake yote

Aliroga wangapi
Majina yao ni nani
Aliuwa wangapi na majina yao ni akina nani nknk

Chama chawala kiko mahututi hizi kauli za makada wake kuhusu maovu waliyowahi kufanya kwenye chaguzi mbalimbali ni sawa na mchawi anayekaribia kukata moto

Huu ni mwanzo tuu bado hawajasema wote.. Hawajasema yote..!

Alamsiki Tanganyika!View attachment 3084457
Vilivyofanyika gizani vitakuja nuruni. Bwana atavitoa vyote!
 
Hapa we mzee peleka moto wa changanyikiwe.
 
I really am perceiving connections as overated.
I hate prospering through connections, no wonder i am spending too much time to hustle. Unasemaje Eyce mdogo angu?
 
Kiasi brother japo kuna time end result inatakiwa kuangaliwa kuliko process kwa sababu kama upo vizuri, kuna ubaya gani mtu akikupa exposure au recommendation ili uweze kufika unapostahili kwa uharaka kidogo ?...

Kwa sababu connection inaweza kuwa mbaya pale mtu unapoipata pasipo kuistahili fursa husika.. Lakini kama unaistahili, sidhani kama kuna ubaya mkuu especially kama upo dedicated na kazi yako brother
 
Yah sure ..kle unayostahili, ni nzuri maana licha ya kupewa ila na wewe una wekeza wajibu so it is fine
 
Hakika Giza Totoro ni ishara ya Mapambazuko
Kukichwa kutapambazuka
Judt

Back
Top Bottom