MJomba upo?
NgojaKwani alisemaje
Pitia hapa mkuu ๐
Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Huu uzi hauna maisha mods hawapendi CCM iumbuliwewww.jamiiforums.com
Kama ambavyo mchawi hapaswi kueleza wachawi wanarogaje, ndivyo ambavyo haipaswi duniani wala ahera kwa mtu wa kitengo kueleza hadharani jinsi #sanaazakiza a.k.a #darkarts zinavyofanya kazi.Head ze goo
Vilivyofanyika gizani vitakuja nuruni. Bwana atavitoa vyote!Kaja mpitanjia kafanya kama mkwezi kaliwa kichwa..! Maisha bila connection usijiamini sana.. Ama inategemea connection yako ina nguvu kiasi gani.
Mdomo koma! Tumefunzwa kukaa kimya ama kufungua kinywa kwa tahadhari kubwa..! Maneno ni ni kama risasi.. Hakuna rivasi Umemaliza weekend salama unajiandaa kesho ukaendee na majukumu yako.. Mara paap! Unaropoka ya kuropoka.. Chaap kwa haraka kabisa unaliwa kichwa.
Mojawapo ya waraka wa ufumbuzi mfupi kuliko yote! Huyu sidhani kama watamuacha salama.. Katika nyakati hizi halafu mtu anatoa boko kama lile..๐ shetani akikukataa utaongea yote na bila kujua kama yalikutokaje!
Zamani tukisikia kuna mchawi anakaribia kukata moto tulikuwa tunawahi eneo la tukio kupata uhondo..maana mchawi hakati roho mpaka aongee maovu yake yote
Aliroga wangapi
Majina yao ni nani
Aliuwa wangapi na majina yao ni akina nani nknk
Chama chawala kiko mahututi hizi kauli za makada wake kuhusu maovu waliyowahi kufanya kwenye chaguzi mbalimbali ni sawa na mchawi anayekaribia kukata moto
Huu ni mwanzo tuu bado hawajasema wote.. Hawajasema yote..!
Alamsiki Tanganyika!View attachment 3084457
Kaja mpitanjia kafanya kama mkwezi kaliwa kichwa..! Maisha bila connection usijiamini sana.. Ama inategemea connection yako ina nguvu kiasi gani.
Mdomo koma! Tumefunzwa kukaa kimya ama kufungua kinywa kwa tahadhari kubwa..! Maneno ni ni kama risasi.. Hakuna rivasi Umemaliza weekend salama unajiandaa kesho ukaendee na majukumu yako.. Mara paap! Unaropoka ya kuropoka.. Chaap kwa haraka kabisa unaliwa kichwa.
Mojawapo ya waraka wa ufumbuzi mfupi kuliko yote! Huyu sidhani kama watamuacha salama.. Katika nyakati hizi halafu mtu anatoa boko kama lile..๐ shetani akikukataa utaongea yote na bila kujua kama yalikutokaje!
Zamani tukisikia kuna mchawi anakaribia kukata moto tulikuwa tunawahi eneo la tukio kupata uhondo..maana mchawi hakati roho mpaka aongee maovu yake yote
Aliroga wangapi
Majina yao ni nani
Aliuwa wangapi na majina yao ni akina nani nknk
Chama chawala kiko mahututi hizi kauli za makada wake kuhusu maovu waliyowahi kufanya kwenye chaguzi mbalimbali ni sawa na mchawi anayekaribia kukata moto
Huu ni mwanzo tuu bado hawajasema wote.. Hawajasema yote..!
Alamsiki Tanganyika!View attachment 3084457
Kukichwa kutapambazukaHakika Giza Totoro ni ishara ya Mapambazuko
Just imagine..๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ๐คฅView attachment 3084980
Duh......
Kiasi brother japo kuna time end result inatakiwa kuangaliwa kuliko process kwa sababu kama upo vizuri, kuna ubaya gani mtu akikupa exposure au recommendation ili uweze kufika unapostahili kwa uharaka kidogo ?...I really am perceiving connections as overated.
I hate prospering through connections, no wonder i am spending too much time to hustle. Unasemaje Eyce mdogo angu?
Yah sure ..kle unayostahili, ni nzuri maana licha ya kupewa ila na wewe una wekeza wajibu so it is fineKiasi brother japo kuna time end result inatakiwa kuangaliwa kuliko process kwa sababu kama upo vizuri, kuna ubaya gani mtu akikupa exposure au recommendation ili uweze kufika unapostahili kwa uharaka kidogo ?...
Kwa sababu connection inaweza kuwa mbaya pale mtu unapoipata pasipo kuistahili fursa husika.. Lakini kama unaistahili, sidhani kama kuna ubaya mkuu especially kama upo dedicated na kazi yako brother
True brother, jiachie kidogo๐๐ฝYah sure ..kle unayostahili, ni nzuri maana licha ya kupewa ila na wewe una wekeza wajibu so it is fine
Kukichwa kutapambazukaHakika Giza Totoro ni ishara ya Mapambazuko
JudtView attachment 3084980
Duh......
Kwa sababu connection inaweza kuwa mbaya pale mtu unapoipata pasipo kuistahili fursa husika.. Lakini kama unaistahili, sidhani kama kuna ubaya mkuu especially kama upo dedicated na kazi yako brotherKiasi brother japo kuna time end result inatakiwa kuangaliwa kuliko process kwa sababu kama upo vizuri, kuna ubaya gani mtu akikupa exposure au recommendation ili uweze kufika unapostahili kwa uharaka kidogo ?...
Kwa sababu connection inaweza kuwa mbaya pale mtu unapoipata pasipo kuistahili fursa husika.. Lakini kama unaistahili, sidhani kama kuna ubaya mkuu especially kama upo dedicated na kazi yako brother
Kukichwa kutapambazukaHakika Giza Totoro ni ishara ya Mapambazuko
View attachment 3084980