Mlandege kawa mlasimba shirikisho nimewaelewa amani sana...

Mlandege kawa mlasimba shirikisho nimewaelewa amani sana...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Yaan best final ever ya mlandege

Mwingine akamjibu zile dk mlizokuwa mkiongezewa kwa wenzenu leo wamezipunguza muwe wapole...Tuliwasubiria final

Shirikisho la znz lina akili sanaa baada ya kuona mlandege in...

Singida akiingia anabeba kombe refa akapewa majukumu fanya ufanyalo hili boya liingie final mlandege wanalimudu

Hamad pyuuuu gafla wakapita masikini mapoyoyo wanashangilia bila kujua waznz washatenge eneza na jezi za kombe lao

Hhatimaenilichoona leo simba mtatesekaaa sanaaa mwaka huu wallahi yaaan kwa mpiraa uleee kha


Alldbest
 
IMG-20240113-WA0099.jpg
 
Back
Top Bottom