Sikusema ni mbali,nilikuwa nimetoa taswira ya umbali wa kilometers 20 kwa mtu ambaye hajapata taswira yake. Unajua kuna mtu kutoka mfano tabata relini au kinyerezi kwenda mnazi m'moja anapaona parefu kutokana na muda anaotumia na kuchelewa kutokana na mafoleni mengi ila mtu anaetokea mfano segerea anakwenda kibaha kupitia malamba mawili akafika haraka na mapema.Ubungo Maji hadi Kiluvya Unaona ni Mbali Mkuuu?
Fikiria wewe hapo sasa hivi Ubungo Maji na Kiluvya Distance si unaenda na kurudi hata mara 10 kwa siku?
Ndio uki approximate hapo bado ni 20 km ndio maana nikasema ni kama kutoka serena na hapo tegeta.
Asante kwa Msaada na muongozo Mzuri mkuu.Sikusema ni mbali,nilikuwa nimetoa taswira ya umbali wa kilometers 20 kwa mtu ambaye hajapata taswira yake. Unajua kuna mtu kutoka mfano tabata relini au kinyerezi kwenda mnazi m'moja anapaona parefu kutokana na muda anaotumia na kuchelewa kutokana na mafoleni mengi ila mtu anaetokea mfano segerea anakwenda kibaha kupitia malamba mawili akafika haraka na mapema.
Sasa bila kuwapa watu picha ya umbali kiuhalisia akiwa anasoma maelekezo ukamwambia kutoka morogoro road hadi eneo kiwanja kilipo ni km 20 kichwani mwake ana imagine ni parefu sana na patakuwa mbali anataka kusikia ni km 1 au ni meter chache kutoka morogoro road.
Mimi nakumbuka nilikuwa naishi bunju Mitaa ya shule ya Moga kule kama unaenda mbweni, kutoka town nilipokuwa kazini mitaa ya upanga ilikuwa ni kama KM 31 za umbali. So kwa siku nikienda na kurudi nimetembea km 62 minimum ila sababu ya lami na barabara iliyonyooka (Bagamoyo road) nilikuwa naona kawaida tu kama mtu anatoka magomeni kwenda ubungo.
So nilikuwa nataka kuwapa picha ya umbali ili wasiwaze kuwa ni parefu sana au ni kama wapi kwenda wapi.
Watanzania wana asili ya ujima so hawapendi maisha ya kujitenga wanapenda sehemu pachangamke halafu kuwe na watu wengi yaani kubanane hapo ndio mtanzania wa kawaida anaona yupo kwenye makazi bora.Asante kwa Msaada na muongozo Mzuri mkuu.
20km kwa wanunuzi wa viwanja ndio umbali sahihi hasa kama after hizo 20km unaingia TOWN kabisa
Mtu anakwambia MBALI wakat ROAD ya kule imenyooka kama ilivyonyooka BAGAMOYO ROAD
Ukidaka pikipiki yako kukiwa na Lami ni Dk 20 mpk 30min ushafika uendako.
Anyway Kwenye maswala ya Manunuzi ya Ardhi watu wengi bado hawana ELIMU ya kujua umbali upi ni sahihi wa kununua eneo.
Ndio maana watu wanaishia nunua viwanja vya barabarani wanakuja Wekewa X BOMOA wanaanza Laumu wakati waliyataka wenyewe matatzo yote.
Mkuu bado watanzania hatujui makazi Bora yaweje.Watanzania wana asili ya ujima so hawapendi maisha ya kujitenga wanapenda sehemu pachangamke halafu kuwe na watu wengi yaani kubanane hapo ndio mtanzania wa kawaida anaona yupo kwenye makazi bora.
Hii ukitaka kujua tazama maeneo ya jiji namna nyumba zimebanana kama mikungu ya ndizi. Hapa mtu anaweza kwdnda hapo kibaha akanunue eneo katikati huko akajenga ila hawawezi sababu watanzania kwa wastani wanapenda maisha ya kusongamana ili waombane chumvi,wachungulie jirani anafanya nini,wapige story,wasikie vibweka nyumba ya pili ndio raha zao.
Mimi nilikaa maeneo ya bunju viwanja ni low density,mageti karibuni nyumba zote,kulikuwa kimya sana, ukilala unapumzika kweli kweli sababu ya utulivu, hakuna movements wala kelele za pembezoni.
Niipata exposure ya tofauti sana pale kuhusu makazi na nikajifunza umuhimu wa kujua anakwenda ishi wapi ukitaka mazingira fulani.
Bunju kipindi viwanja Vinauzwa Asee kila mtu alikua MUOGA kuna Maeneo sasa hivi hayashikiki kwa bei lakini maeneo hayo hayo watu walikua wanaambiwa Chukueni Wanaona ni PORINI.Watanzania wana asili ya ujima so hawapendi maisha ya kujitenga wanapenda sehemu pachangamke halafu kuwe na watu wengi yaani kubanane hapo ndio mtanzania wa kawaida anaona yupo kwenye makazi bora.
Hii ukitaka kujua tazama maeneo ya jiji namna nyumba zimebanana kama mikungu ya ndizi. Hapa mtu anaweza kwdnda hapo kibaha akanunue eneo katikati huko akajenga ila hawawezi sababu watanzania kwa wastani wanapenda maisha ya kusongamana ili waombane chumvi,wachungulie jirani anafanya nini,wapige story,wasikie vibweka nyumba ya pili ndio raha zao.
Mimi nilikaa maeneo ya bunju viwanja ni low density,mageti karibuni nyumba zote,kulikuwa kimya sana, ukilala unapumzika kweli kweli sababu ya utulivu, hakuna movements wala kelele za pembezoni.
Niipata exposure ya tofauti sana pale kuhusu makazi na nikajifunza umuhimu wa kujua anakwenda ishi wapi ukitaka mazingira fulani.
Kwahiyo mtu anaweza kusema anauza kiwanja kiko Kariakoo kilometa 20 kutoka sokoni, kumbe anamaanisha kiko Mbezi Mwisho!Wasio ijua 20KM kwa maelezo mepesi tukilinganisha na maeneo Yanayofahamika kwa Dar ni kama Kariakoo hadi Mbezi Mwisho.
Chukulia Mlandizi ni (Mbezi Mwisho) na Site Ilipo ni (Kariakooo)
So hapa tunaongelea Distance ya Mtu atokae Kariakoo hadi mbezi Mwisho.
View attachment 3410556
Ni mfano wa maeneo yasio kulikana.. ni sawa na mtu awe na kiwanja Kibanda Cha Mkaa..Kwahiyo mtu anaweza kusema anauza kiwanja kiko Kariakoo kilometa 20 kutoka sokoni, kumbe anamaanisha kiko Mbezi Mwisho!
Huyu mtoa tangazo alitakiwa kutaja tu jina la kijiji lilipo hilo shamba. Halipo Mlandizi.
Ni mfano wa maeneo yasio kulikana.. ni sawa na mtu awe na kiwanja Kibanda Cha Mkaa..
Ili utangaze mtu wa tarime ajue si rahisi ukisema Kibanda cha Mkaa..
Ila ukisema Nauza Kiwanja Kipo Kariakoo wakat kipo kibanda cha Mkaa utamsaidia kumpa uelewa mnunuzi wa tarimw ajue kwamba kumbe kipo DAR.
then ataanza kuhoji umbali sasa..ila ukitajiwa tu Mtaa/kijiji kischojulikana ni ngumu mtu wa mbali kufahamu.
Kumbuka Unauzia watu wote wanaoijua DAR na wasio ijua DAR anae ijua Dar ukimwambia KIBANDA CHA MKAA au ukamwambia KIBO anaelewa.
ILA mtu wa SIMIYU ukaandika nauza kiwaNJa kipo KOROGWE (ukimaanisha korogwe ya dar) yeye mwenzako anajua Korogwe TANGA.
Anakuja mzima.mzima ndio kumwelewesha anakuja shtuka ni DAR kumbe na sio TANGA.
SO tangazo halina makosa ni katika kurahisisha uelewa baada ya hapo tunarudi katika UMBALI sasa... majina husika ya mtaa/kijiji hujulikana mbele ya safari huko baada ya mtu kufika site na kupaona.
Shamba linauzwa liko Vihingo mkoa wa PwaniKwann unaitaja Mlandizi sasa nawewe mkuu?, Andika tangazo bila kuweka Mlandizi.
KiluvyaHivi Mwisho wa Dar njia ya Morogoro Road ni wapi?