The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 2,359
- 3,445
MWISHO WA MNADA, WA BEI RAHISI.
MTEJA UTAKAEKUJA FAHAMU BEI SIO TENA 10M
KAMA umejipanga na 10M usisumbuke Kunitafuta.
GHARAMA YA SASA NI 17M bei ikipungua itashuka MWISHO 16M
Na Sio HEKA 2 zote nikikuuuzia utanibakizia namimi eneo la 30 x 30
So katika HEKA 2 toa 30 x 30 inayobaki ndio ipo SOKONI maana yake hio 30 x 30 unaniachia mwenyewe namimi nipate eneo la kujenga
ENEO sio HEKA 2 tena (msisitizo naomba utakae nitafuta ufahamu hili)
Kwenda Kuona Site : 50,000 (Unailipa kabla hatujaenda, hupelekwi Bure)
Gharama zote zitakazojitokeza nnje ya Bei ya Manunuzi kama
Kulipa Gharama za Serikali ya MTAA : Ni zako mnunuzi.
Muuzaji Sitogharamika na Chochote.
Asanteni kwa wote Mliokua na NIA ya Kununua ila hela ikawa kikwazo.
Na wote mliokua mkidhani ni Porini Hongereni pia.
NOTE : Mteja Unaetokea JF hamna Picha utatumiwa.
Ukitaka Kuona Site Andaa 50,000 (LAZIMA) Kisha nitafute Muuzaji twende Site.
Kama ukinunua hiii 50,000 haitokuepo, hii 50,000 ni kwa wale wanaotaka kwenda kuona tu na kisha kuondoka wakajifikirie.
BEI YA ENEO SIO 10M tena
Sio 10m
Sio 10m
Sio 10m
Kama una 10M usinitafute wala Usisumbuke Nitafuta.
Asante na Karibuni Wahitaji.