INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

Linachangamoto gani mkuu kua mkweli maana kisarawe huko kuna migogoro sana ya ardhi na unakuja kuijua tu punde baada ya kuanza ujenzi.
Nimeshuhudia kwa wengi sana.
Sasa sinaria yako hii na kajumba bado kabichi kabisa,hebu jazia nyama kamanda mali inatamanisha sana hii
Haina Changamoto na ingekuepo Changamoto ningeuza hata 5m

Maana enzi nanunua huko nilinunua Heka 500k ... Mwaka 2015 kukiwa mapori haswa na nikawa naogopa ila tu kwakua hela sikua na kazi nayo wakat huo Nikanunua nikapaacha.

Maisha yameendelea pakaanza kuchangamka watu wakaanza kujaa, na huyo Jirani unaemuona Kahamia kabisa yeye kanunua HEKA 20 nyumba unayoiona kubwa hapo imejengwa kama UYOGA.

KACHIMBA kisima Kaweka FULL SOLAR SYSTEM anaishi kama yuko pale UBUNGO..

Mimi ndio nikaona Mbona kumeanza kupendeza nikataka Ongeza ENEO kwa Majirani walau niwe na heka 5 niongeze kulia 1 kushoto 1 na Nyuma yangu 1..

Ila Hamna JIRANI alietaka niuzia...na HAMNA anae uza...

Nimetangaza kipindi FLANI nilipojenga hiyo NYUMBA nikakopa BENK (nilipata vihela) nikatanganza DAU la 5m kwa HEKA hamna aliekubali Kuuza.

KAMA HUAMINI nakuruhusu twende nikakuonyeshe ENEO then ukishapaona RUDI kwa MUDA wako usiniambie KAMA unaenda NEnda Kimya Kimya...

NENDA eneo lile langu na MAJIRANI watafute wambie una 5m kwa HEKA unataka heka walau 1... UKIUZIWA NA UKIPATA

Njooo chukua hiyo NYUMBA HAPO BURE...

Ukipata wa kukuuuzia HEKA 1 MILIONI 5 akapokea HELA YAKO Chukua hiyo Nyumba ninayoitangaza BURE.

NATAKA KUSEMA NINI???

Hiyo NYUMBA siuzi kwa KUPENDA NAUZIA MATATIZO na kama unahisi ina Mgogoro unaogopa..

NAOMBA NIKOPESHE MILIONI 7 tu nitakurudishia KWA RIBA ya 2m jumla nitakupa 9M

HII pesa Nitairudisha kwa kipindi cha MIEZI 6 tu sizidishi nisiporudisha UZA NYUMBA MILIONI 7 na eneo RUDISHA PESA YAKO.

NI SHIDA MKUUU sio kila anae UZA ARDHI/NYUMBA zina MIGOGORO hiii ni SHIDA TU MKUU IMENIKUTA.

Au

MNUNUAJI anunue kwa 10m kisha tukubaliane mimi ataniuzia tena kwa Kiasi atakacho baada ya hili sakata langu Kuisha.

MKUU NINA 100% nakuhakikishia HAMNA MGOGORO WALA CHANGAMOTO.

FIKA ENEO HUSIKA then TAFUTA MASHUSHU WAKO KIMYA KIMYA BILA KUNIAMBIA KISHA JIRIDHISHE.
 
Wife no problem my frend, wife taka mimi achia urithi na yeye achia mie mbususu. Its a give and take my frend.
Yap yap enyoy much me .
Hapa nakujibu huku niko na mwenyekiti wa kijiji nikamwonesha nilivyokujibu kuwa kuna mzungu mmoja yuko America ndiye nachati naye kakubali na kusema inaonekana na wewe kingereza kinapand sana 😂😂

Elimu elimu elimu .
Thanks brother ,if you have a money just take that place it will be more valuable as the place gets more hosts .

Vipi hapo niko sawa enhe ?
 
My friend ur english need polish but do not worry with practice comes perfection. I admire ur effort in trying to speak the language of the duniaz ( forget anyone who says otherwise)

Yes the land appreciates in value that is for sure but unfortunately the mbusus is depreciate in value but my wife wants that land so i have to buy.

Hapo mwishi the place gets more hosts ebu weka kiswahili nielewe
 
Tayari umeanza maneno magumu.
 
ukiona hupati mnunuzi gawanya hizo eka mbili uuze 20 kwa 20
Wengi wapo wanaotaka Hivyo... Lengo ni Kuipata 10m kwa pamoja na MUDA unakimbia.

Sina MUDA ndani ya Huu MWEZI natakiwa niwe nimepata hicho kiasi kinachotakiwa.

Pasipouzika BASI nitaangalia namna ingine labda MUNGU kaamua kupaficha ili paje panisaidie kwa namna flani huko mbeleni.

Hili TANGAZO litadumu hapa Mpk Tar 20 Mwezi HUU.

Baada ya Hapo Kama sijapata SITOUZA TENA... acha Niendelee kusubiri.

JAPO NINA shida ila kuuza kwa CHINI ya hiyo PESA sitofanya wala kuthubutu, wala KUGAWA 20x20 hilo pia sitofanya.

Nikikosa Nitashukuru PIA kwa MUNGU siwezi Jua ya KESHO.
 
ukiona hupati mnunuzi gawanya hizo eka mbili uuze 20 kwa 20
Makampuni ya Viwanja wanataka ingiza kiwanja katika MRADI wagawe lakini wale ni wanyonyaji wamezoea kununua heka za LAKI MBILI ikizidi sana LAKI 3

Hao tumeshindwana
 
Hili dili mimi nalitamani, kwa ajili ya kurejeshewa hiyo 15m after 6months, na hiyo 10m ipo! ishu inakuja kwenye uhalali wa dili lenyewe..
Mkuu karibu ujiridhishe na Umiliki na Tuandikishane kila kitu kikifanyika kwa Sheria tutafanikisha.

Gharama za Mwanasheria nitazitoa Mimi, tuandikishane.
 
Hili dili mimi nalitamani, kwa ajili ya kurejeshewa hiyo 15m after 6months, na hiyo 10m ipo! ishu inakuja kwenye uhalali wa dili lenyewe..
Na Yaweza isifike Mkuu kwani kila mwezi nitakua nakuwekea REJESHO la Zaidi ya 2m and Above kulingana na Biashara miezi mambo yameenda vizuri kukuwekea 4m ni kawaida na inawezekana.

Ukishanijua na ukajua nafanya biashara Gani nadhani kiasi flani utapata TRUST.

Muhimu ni Ku officialize hiii biashara mkuu
 
Umeme umefika huko
Umeme upo
HOspital ipo
Shule ipo
Maji tu (ndio bado)

Nyumba ilipo ili umeme ukufikie unahitaji NGUZO 5

so utaamua ununue mwenyewe ( wenzako waje wateleze tu) au usubiri mchangishane mnunue kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom