INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

Hii inaitwa do or die yaan ukikuta ni mzgo genuine basi umelamba dodo ila cheap is expensive yaan upande wa pili je kwel ni mali yake? Kwa ushaur mtu atayenunua aingie na gharama hata ya milion moja kwa ajili ya kufanya due diligence ya kutosha kuanzia kwa majirani, serikal ya kijiji/mtaa, wazee wa hio sehem, halmashauri then malizia na mwanasheria. Mwisho kabsa namalizia na msemo wa kilatini wa caveat emptor yaan buyer be aware. Karbu PM kwa msaada wa due diligence ilioshiba ili kuokoa pesa zako na usumbufu hapo baadae.
Ni sawa kabisa
 
Mazingira yanavutia sana, baada ya kutoka kwenye makelele mengi mjini, unakuja unajipumzisha wkend yote na mama watoto.​
 
Aisee hapa pazuri mie na bodaboda yangu naenjoy tuu. Ebu ngoja niongee na my wife tuone kama tunaweza chukua hii
Pachukue tu mume wangu pazuri..!!
Ila jina uweke langu si unajua nduguzo wana roho mbaya hawanipendi, ukifa watanidhulumu..!! 🥹😹😹

Hilo eneo sio la kuuza bei hiyo huyo jamaa ana shida aiseee..!! 😥
 
( BEI : MILIONI 10 )

Kiwanja Kina Ukubwa wa Hekari 2

KUna Nyumba ya Wafanyakazi/Mafundi Watakao kua Wanafanya kazi zako Hapo Site.

Vyumba Vi tatu...

Maji Yapo Jirani Ya Kisima (Kuna Nyumba Kubwa Nyeupe utaiona kwa Picha)

Umeme UPO ni wa Kuvuta Tu...

Mahali ilipo : MLANDIZI/VIHINGO

Kutoka MOROGORO ROAD hadi Site ilipo pana Umbali wa 20km.

Kufika Kuna Usafiri wa Aina 3

1.Usafiri wako Binafsi
2.Boda Boda Nauli 5000 mpk Site
3.Usafiri wa Wote Nauli 3000

ENEO halina HATI YA WIZARA (Hati ipo on Process)

Kuna HATI ya MAUZIANO TOKA SERIKALI YA KIJIJI.

BEI YAKE : 10M

MAWASILIANO WHATSAPP ONLY : 0694794611

MAWASILIANO KUPIGA NA MSG KAWAIDA : Karibu INBOX nikupe Namba ya Simu.

HAINA UDALALI UNAKUTANA NA MMILIKI.

PICHA

View attachment 3397498View attachment 3397499View attachment 3397501View attachment 3397501View attachment 3397507View attachment 3397511


NOTE :

NI SHIDA TU NDIO zinafanya NIUZE HII NYUMBA.

MNUNUZI utakae nunua kwa 10m

Kama Utakua TAYARI nitakuja inunua kwako tena kwa 15M

YEYOTE ATAKAE INUNUA HII KAMA LENGO LAKE NI FAIDA NITAMUOMBA ANIPE MIEZI 6 TU

KISHA NITAMPA 15M anirudishie ENEO na NYUMBA kama Alivyolipokea.
20 km siyo mchezo kwa rough road.
 
Pachukue tu mume wangu pazuri..!!
Ila jina uweke langu si unajua nduguzo wana roho mbaya hawanipendi, ukifa watanidhulumu..!! 🥹😹😹

Hilo eneo sio la kuuza bei hiyo huyo jamaa ana shida aiseee..!! 😥
Sawa mme sasa ngoja nionane na jamaa nimpe hela tuchukue eneo hilo bei chee kabisa.
Nimemiss titi lako bby
 
😹😹😹 nimekua mmeo baada ya kuambiwa uniandike jina langu?
Sasa niandike jina lako sii maana yake wee umemuwa mume mie mke🤣🤣🤣🤣
Hapa usijali lazima tuwekeze kwa ajili ya huko mbeleni tukichoka tunapumzika huko shamba
 
Linachangamoto gani mkuu kua mkweli maana kisarawe huko kuna migogoro sana ya ardhi na unakuja kuijua tu punde baada ya kuanza ujenzi.
Nimeshuhudia kwa wengi sana.
Sasa sinaria yako hii na kajumba bado kabichi kabisa,hebu jazia nyama kamanda mali inatamanisha sana hii
 
Back
Top Bottom