INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

Maji watu wanatumia ya kisima ya kuchimba, Jirani hapo ana kisima

Maji yapo 24hrs...

Hamna kikwazo chochote kunachoweza mzuia mtu na familia kuishi,HAKUNA.
 
Karibu Wahitaji...

Tar 20 Mwezi Huu kama Hatopatikana Mtu

Itakua ndio Mwisho wa Kuuza (sitouza).. itakua J2.

Muhitaji Ulie Serious Karibu.
 
ENEO BADO LIPO HALIJAUZWA.

MWISHO WA KUUZA NI TAR 20 JULY (next sunday)

Nitaifuta Huu UZI tar 20 JULY kwa yeyote ambae Uliniahidi utakuja Ukija Baada ya Tar 20 bei ni 15m naomba nisije onekana nina TAMAA au KIGEU GEU.
 
Mwisho wa kuuza Eneo hili ni Tar 20 JULY (Jumapili iJayo)

Eneo Bado Lipo Kwa Sasa Karibuni Wahitaji/Wanunuzi.
 
Boda boda bei gani mpka hapo site?
Asante
Boda Boda Kuanzia Mlandizi STAND pale MOROGORO road mpaka Site sh 5000.

Ukipanda Dala Dala zinazoanzia pale sh 3000

Ila ukishuka hapo kwa 3000 utatembea kama dk 10 ndio ufike

Karibu
 
ENEO BADO LIPO HALIJAUZWA.

MWISHO WA KUUZA NI TAR 20 JULY (next sunday)

Nitaifuta Huu UZI tar 20 JULY kwa yeyote ambae Uliniahidi utakuja Ukija Baada ya Tar 20 bei ni 15m naomba nisije onekana nina TAMAA au KIGEU GEU.
Karibuni

Eneo Bdo Lipo mpka Tar 20 JULY.
 
Boda Boda Kuanzia Mlandizi STAND pale MOROGORO road mpaka Site sh 5000.

Ukipanda Dala Dala zinazoanzia pale sh 3000

Ila ukishuka hapo kwa 3000 utatembea kama dk 10 ndio ufike

Karibu
Niki panda Bus pale mbezi za kwenda nzenga nashuka kituo kinaitwaje?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Unashuka Kituo kinaitwa

NJIA PANDA YA SANGWE
Ukitumia Piki Piki hauendi Mlandizi Unaingilia Kibaha unanyooka nayo hadi SITE kwa PikiPiki Binafsi ukienda Mlandizi Unazunguka

Kutoka Site Hadi Ubungo kwa Piki Piki ukipita Shortcut ni Dk 50 - 1hr
 
ENEO BADO LIPO HALIJAUZWA.

MWISHO WA KUUZA NI TAR 20 JULY (next sunday)

Nitaifuta Huu UZI tar 20 JULY kwa yeyote ambae Uliniahidi utakuja Ukija Baada ya Tar 20 bei ni 15m naomba nisije onekana nina TAMAA au KIGEU GEU.
Eneo Bado Lipo Linauzwa mpka Tar 20 JULY
 
Huko ten years unakunja parefu sana
Ndio Maana nikasema MKUU ikifika TAR 20 JULY keaho kutwa JUMAPILI siuzi Tena Hili ENEO.

Then Nafuta Huu UZI na Siku 1 nitarudi tena Kuwaonyesha WALE WALIOKATAA kwamba walikua wamepishana na kitu cha namna gani.

DEADLINE ni TAR 20 JULY siongezi hata siku 1..

We tulia tu MKUU.
 
Sasa unatutisha sio
 
Back
Top Bottom