Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Mfuga Midevu na Majini umechanganyikiwa baada ya Majini yake kupanda!!!!Yahudi wa Buza kwa Lulenge mbele ya kwa Mpalange na intellejensia ya vita ya Ghuba.
Utadhani wengine wote hatuna njia ya kupata taarifa za vita
Hizi ndio taarifa napenda kuzisikia.
Hizi ndio habari napenda kuzisikia.. habari njema kabisaa.Kwa hali ya mambo yalivyo hivi vita vikiendelea kwa takriban miezi miwili tu hivi uchumi wa Iran utakuwa umesambaratika kabisa hali ambayo itapelekea utawala wa kiimla wa Iran kuporomoka wenyewe.
Punguza fake news, sijui mods huwa wanakua wapi jukwaa limepoteza hadhi kabisa.Wakati Magaidi wa Iran wakibwabwaja Mlango wa Bahari wa Hormuz uko mikononi mwa majeshi ya Marekani
Iran imewekewa vikwazo tokea 1979 mbona uchumi haukuporomoka. Ni hivi uchumi wa dunia wote unaathirika, hata USA tu oil reserves zimekauka kwahiyo kupanga ni kuchagua je dunia iporomoke kisa Iran au wavamizi waondoke.Kwa hali ya mambo yalivyo hivi vita vikiendelea kwa takriban miezi miwili tu hivi uchumi wa Iran utakuwa umesambaratika kabisa hali ambayo itapelekea utawala wa kiimla wa Iran kuporomoka wenyewe.
Rudi darasani ujifunze uchumi wa Iran umeporomoka sana endelea kujifariji tu!!Iran imewekewa vikwazo tokea 1979 mbona uchumi haukuporomoka. Ni hivi uchumi wa dunia wote unaathirika, hata USA tu oil reserves zimekauka kwahiyo kupanga ni kuchagua je dunia iporomoke kisa Iran au wavamizi waondoke.
Namshangaa mtu unaishi Tanzania ambayo liter ya mafuta itafika elfu 10 ikitokea Iran imeporomoka.