Mlango Bahari wa Hormuz ukiwa chini ya Majeshi ya Marekani. Iran mabaki kubwabwaja tu.!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Wakati Magaidi wa Iran wakibwabwaja Mlango wa Bahari wa Hormuz uko mikononi mwa majeshi ya Marekani
 

Attachments

  • -7841093105675871041.mp4
    5.5 MB
  • 7655685276631457281.mp4
    25.3 MB
  • IMG_5635.jpeg
    109.8 KB · Views: 14
  • IMG_5636.jpeg
    114.6 KB · Views: 15
  • IMG_5637.jpeg
    47.8 KB · Views: 15
Yahudi wa Buza kwa Lulenge mbele ya kwa Mpalange na intellejensia ya vita ya Ghuba.
Utadhani wengine wote hatuna njia ya kupata taarifa za vita
 
Yahudi wa Buza kwa Lulenge mbele ya kwa Mpalange na intellejensia ya vita ya Ghuba.
Utadhani wengine wote hatuna njia ya kupata taarifa za vita
Mfuga Midevu na Majini umechanganyikiwa baada ya Majini yake kupanda!!!!

Endelea kujifariji tu baada ya Iran kupigwa vibaya!!!
 
Kwa hali ya mambo yalivyo hivi vita vikiendelea kwa takriban miezi miwili tu hivi uchumi wa Iran utakuwa umesambaratika kabisa hali ambayo itapelekea utawala wa kiimla wa Iran kuporomoka wenyewe.
 
Kwa hali ya mambo yalivyo hivi vita vikiendelea kwa takriban miezi miwili tu hivi uchumi wa Iran utakuwa umesambaratika kabisa hali ambayo itapelekea utawala wa kiimla wa Iran kuporomoka wenyewe.
Hizi ndio habari napenda kuzisikia.. habari njema kabisaa.
 
Echolima hizo picha zinatisha sana

Nakusihi tuiombee Iran iwe amani kaka
 
Kwa hali ya mambo yalivyo hivi vita vikiendelea kwa takriban miezi miwili tu hivi uchumi wa Iran utakuwa umesambaratika kabisa hali ambayo itapelekea utawala wa kiimla wa Iran kuporomoka wenyewe.
Iran imewekewa vikwazo tokea 1979 mbona uchumi haukuporomoka. Ni hivi uchumi wa dunia wote unaathirika, hata USA tu oil reserves zimekauka kwahiyo kupanga ni kuchagua je dunia iporomoke kisa Iran au wavamizi waondoke.

Namshangaa mtu unaishi Tanzania ambayo liter ya mafuta itafika elfu 10 ikitokea Iran imeporomoka.
 
Sawa!
Unaweza kutupa taarifa meli ngapi zimefanikiwa kupita salama mpaka sasa!?
 
Umeumia sehemu gani katika mwili wako?

Unateseka kutokea sehemu gani?
 
Rudi darasani ujifunze uchumi wa Iran umeporomoka sana endelea kujifariji tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…