Mangula na Shein, makamu wenyeviti wa CCM, ndio watakaoamua ni nani awe VP, presida madam ni rubber stamp tu.
Itakuwa shida sanaMama Samia atachaguliwa VP na kundi flani ndani ya CCM. JK keshatia mkono wake hapo now that Mkapa (na JPM) hawapo
The best Rais can do ni kuomba tu apewe choices mbili ili labda achague the βlesser devilβ. Otherwise hana influence hata ya 40% nani awe VP
Mkuu kutekeleza au kuijua Ilani na Uongozi ndani ya CCM ni Mbingu na Ardhi!Kama Mangulla na Shein watahakikisha Kikwete hawaburuzi cc kwa maslahi yake na sio ya nchi; ikumbukwe kuwa Rais Samia anahitaji mtu wa kuhakikisha kuwa ILANI ya ccm inatekelezwa. Wako wanaccm ambao walisjhiriki na marehemu na rais Samia kuiuza Ilani ya ccm kwa wananchi hivyo wapewe nafasi ya kumsaidia Rais kuitekeleza.
Umenena vema na hili nadhani ndio liwe fundisho,mifumo imara ya Taasisi na Katiba mpya.Huu ni ukweli mchungu...JPM litengeneza mfumo mbovu was utawala na uongozi ,itachukua miaka mingi kulirekebisha...
Uwezo wanao sema jamaa aliwatisha sana pamoja na kuchukua bongo zao, aliweka mfumo wa kila kitu aulizwe yeye tu.Sina Imani kabisa na mama samia.. Najua anajaribu bahati yake,
Tatizo magufuli ameacha baraza changa sana, baraza tegemezi, lisilo na maamuzi, maamuzi yote alikua anafanya Magufuli.
We are not underestimating our Madame Rais!Pls NEVER EVER underestimate --- msimhafilishe --- Rais Samia. She is President na nusu. If JPM was Chuma cha Dhahabu, hers is Chumu ya Almasi; JPM was Chuma, hers is Iron Lady. π
NB: Tuomboleze kwa amani, utulivu, mshikamano na kujihadhari!
Juzi bila kujua kabainisha jinsi alivokuwa anaamshwa asubuhi akachaoe kaziπ€π€π€Uwezo wanao sema jamaa aliwatisha sana pamoja na kuchukua bongo zao, aliweka mfumo wa kila kitu aulizwe yeye tu.
Narudia kusema haya mambo ya kuona katiba ni suluhisho, tutachelewa sana. labda huko ulaya na marekani si africa. Sisi bado tunahitaji strong leaders not strong katibas. Mjue hakuna inchi africa hii yenye katiba bora na ya kisasa kama kenya. Lakini bado walimtaka magu hata kwa mwaka mmoja tu.Hiyo ndio sababu wengi wanaitaji katiba ambayo itaunda mifumo thabiti ifike hatua hata mwehu akipewa nchi bado katiba inampa muongozo na ikitokea ameboronga anawajibishwa.
Hizo ni propaganda za MatagaNarudia kusema haya mambo ya kuona katiba ni suluhisho, tutachelewa sana. labda huko ulaya na marekani si africa. Sisi bado tunahitaji strong leaders not strong katibas. Mjue hakuna inchi africa hii yenye katiba bora na ya kisasa kama kenya. Lakini bado walimtaka magu hata kwa mwaka mmoja tu.