darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Watoto wa mjini wapo kazini, the king maker sijamsikia kabisa moves zake zingeweza kutoa clues.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mangula ni Doctor maadiliMangula na Shein, makamu wenyeviti wa CCM, ndio watakaoamua ni nani awe VP, presida madam ni rubber stamp tu.
Watu walishasema tujenge taasisi imara na siyo kutegemea mtu mmoja imara.Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia
Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa
Kama yupo kwa ajili ya hapa kazi tu ama la!
Kama yupo kwa ajili ya vita ya rushwa, ubadhilifu, uzembe, uvivu ama la!
Kama yeye ni CCM na Tanzania mpya kweli aliyokuwa akiijenga na kuihubiri mzee ama CCM ya zamani/asilia/watoto wa mjini
Na kadhalika na kadhalika
Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia