Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Utani tu mkuu......don't take personal
....hata Aziz ki ....walisema anadomo lefu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahmed Ali! Huu ujinga wote ulianzia kwake. Alikuwa na sababu gani ya kumtambulisha kama Mzungu, badala ya jina lake? Hii nchi imeshavurugwa kitambo! Ona sasa.

Leta mzungu [emoji23][emoji23]
 
Mchezaji wetu Simba wewe ana kuhusu nn kule ulaya uliona wapi mane akiitwa mwafrika zaid kuliko jina lake
Ila chanzo cha haya yote kwa mtazamo wangu ni Ahmed Ali, ile siku ya simba day! Mwakani atafutwe tu MC mwingine kwa kweli.

Ukijumlisha na kuvurugwa kwa Watanzania wengi na hizi tozo za Mwigulu, matokeo yake ndiyo haya sasa. Imagine huu uzi hauna kichwa wala miguu, lakini cha kushangaza unatembea kweli kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…