Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Ila chanzo cha haya yote kwa mtazamo wangu ni Ahmed Ali, ile siku ya simba day! Mwakani atafutwe tu MC mwingine kwa kweli.

Ukijumlisha na kuvurugwa kwa Watanzania wengi na hizi tozo za Mwigulu, matokeo yake ndiyo haya sasa. Imagine huu uzi hauna kichwa wala miguu, lakini cha kushangaza unatembea kweli kweli!!
😅😅😅We acha tu !!
 
Kweli kabisa ,ila Simba nao hawana huruma kabisa wakipata kitu cha kuwakera Yangu rejea wiki moja kabla ya kipigo nyuzi zao na picha za Brigmana akiwa kwenye sekta ya kubeba maboksi huku wakimdhihaki japo ya mzungu ni too much.
 
Leo baada ya kuona mzungu (koko) wa simba baada ya kuona anaandamwa Sana mtandaoni Mimi naona huu ni ubaguzi wa wazi wazi[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizi Ni baadhi ya picha za mdhungu was Simba [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Mlete mdhunguuu. (×2) mlete mdhungu (×2)

Tupia picha ulizo nazo.....na tafsiri yake
jamaa kaweka pozi ya kumsubiri mama yako akalie
 
Hakuna utani wa kipuuzi kama huu. Tuache mambo ya ubaguzi usio na kichwa wala miguu michezoni. Mwacheni acheze mpira.
Hakuna cha ubaguzi hapo mzee wa kazi usibbaike na rangi,mambo haya utayakuta England,utayakuta Ufaransa na kwingineko kote sema wewe ushabiki umeweka mbele inayochangiwa na inferiority complex tu,fuatilia hata the way hata vyombo vikubwa vya habari vinavyomock picha za Maguire utaelewa namaanisha mimi...Halafu pia watanzania tumenza kuwa na ujuaji wa kijinga kila kitu tunajifanya sijui human rights mar cyber bullying..hpo pichan ni Union garden marekani na hilo sanamu ni raisi donald Trump watu wanammock na hakuna hata kelele yoyote iliyosikika kam wajuaji w Bongo mnavyofanya.je kati ya hii picha na hizo editing upi ni bullying!
350f69ceecb2cb2c4003abe3a3230d441c-18-naked-trump.rsquare.w700.jpg
 
Hii sio sawa kabisa!
Mimi sio mshabiki wa simba hata kidogo ila huu uzi ni wa KIBAGUZI!
Kila siku tunalaani ubaguzi kwenye soka Ulaya sasa tusilete huku nyumbani kivingine
ungesema wachezaji wa simba angalau ila sio kumlenga mtu moja kwa moja kama una bifu naye!!!
Mnavyomdhihaki Manara kwa picha za kudhalilisha jee au kwa kuwa yeye sio mzungu?.
 
Naona unamuota Dejan hata ukiwa umelala mkuuu
Mkuu....yule jamaa ni bonge la fundi hata ukiona speed yake jamaa ana movement za kasi .....kujiposition

Basi acha tumponde ili tumpe morali Zaid...

Refer to Mayele....kabla hajaanza hata kucheza.....zilifunguliwa thread nying za kumponda .....but now he's one shining [emoji93] [emoji93]

Jiwe walilolikataa waashi??????
 
Hakuna cha ubaguzi hapo mzee wa kazi usibbaike na rangi,mambo haya utayakuta England,utayakuta Ufaransa na kwingineko kote sema wewe ushabiki umeweka mbele inayochangiwa na inferiority complex tu,fuatilia hata the way hata vyombo vikubwa vya habari vinavyomock picha za Maguire utaelewa namaanisha mimi...Halafu pia watanzania tumenza kuwa na ujuaji wa kijinga kila kitu tunajifanya sijui human rights mar cyber bullying..hpo pichan ni Union garden marekani na hilo sanamu ni raisi donald Trump watu wanammock na hakuna hata kelele yoyote iliyosikika kam wajuaji w Bongo mnavyofanya.je kati ya hii picha na hizo editing upi ni bullying!View attachment 2324848
Masihara kama haya angefanyiwa Jiwe naona angeondoka na mtaa.
 
Mkuu....yule jamaa ni bonge la fundi hata ukiona speed yake jamaa ana movement za kasi .....kujiposition

Basi acha tumponde ili tumpe morali Zaid...

Refer to Mayele....kabla hajaanza hata kucheza.....zilifunguliwa thread nying za kumponda .....but now he's one shining [emoji93] [emoji93]

Jiwe walilolikataa waashi??????
Sure. Mm sipo ktk kumponda kabisa..ila sasa naona its too much ,,nonsense
 
Ila chanzo cha haya yote kwa mtazamo wangu ni Ahmed Ali, ile siku ya simba day! Mwakani atafutwe tu MC mwingine kwa kweli.

Ukijumlisha na kuvurugwa kwa Watanzania wengi na hizi tozo za Mwigulu, matokeo yake ndiyo haya sasa. Imagine huu uzi hauna kichwa wala miguu, lakini cha kushangaza unatembea kweli kweli!!
Bongo huwa hatupendi vitu vilivyo serious[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli kabisa ,ila Simba nao hawana huruma kabisa wakipata kitu cha kuwakera Yangu rejea wiki moja kabla ya kipigo nyuzi zao na picha za Brigmana akiwa kwenye sekta ya kubeba maboksi huku wakimdhihaki japo ya mzungu ni too much.
Kabisa mkuu.....acha tuwakumbushe
 
Back
Top Bottom