Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

😅😅😅We acha tu !!
 
Kweli kabisa ,ila Simba nao hawana huruma kabisa wakipata kitu cha kuwakera Yangu rejea wiki moja kabla ya kipigo nyuzi zao na picha za Brigmana akiwa kwenye sekta ya kubeba maboksi huku wakimdhihaki japo ya mzungu ni too much.
 
jamaa kaweka pozi ya kumsubiri mama yako akalie
 
Hakuna utani wa kipuuzi kama huu. Tuache mambo ya ubaguzi usio na kichwa wala miguu michezoni. Mwacheni acheze mpira.
Hakuna cha ubaguzi hapo mzee wa kazi usibbaike na rangi,mambo haya utayakuta England,utayakuta Ufaransa na kwingineko kote sema wewe ushabiki umeweka mbele inayochangiwa na inferiority complex tu,fuatilia hata the way hata vyombo vikubwa vya habari vinavyomock picha za Maguire utaelewa namaanisha mimi...Halafu pia watanzania tumenza kuwa na ujuaji wa kijinga kila kitu tunajifanya sijui human rights mar cyber bullying..hpo pichan ni Union garden marekani na hilo sanamu ni raisi donald Trump watu wanammock na hakuna hata kelele yoyote iliyosikika kam wajuaji w Bongo mnavyofanya.je kati ya hii picha na hizo editing upi ni bullying!
 
Mnavyomdhihaki Manara kwa picha za kudhalilisha jee au kwa kuwa yeye sio mzungu?.
 
Naona unamuota Dejan hata ukiwa umelala mkuuu
Mkuu....yule jamaa ni bonge la fundi hata ukiona speed yake jamaa ana movement za kasi .....kujiposition

Basi acha tumponde ili tumpe morali Zaid...

Refer to Mayele....kabla hajaanza hata kucheza.....zilifunguliwa thread nying za kumponda .....but now he's one shining [emoji93] [emoji93]

Jiwe walilolikataa waashi??????
 
Masihara kama haya angefanyiwa Jiwe naona angeondoka na mtaa.
 
Sure. Mm sipo ktk kumponda kabisa..ila sasa naona its too much ,,nonsense
 
Bongo huwa hatupendi vitu vilivyo serious[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli kabisa ,ila Simba nao hawana huruma kabisa wakipata kitu cha kuwakera Yangu rejea wiki moja kabla ya kipigo nyuzi zao na picha za Brigmana akiwa kwenye sekta ya kubeba maboksi huku wakimdhihaki japo ya mzungu ni too much.
Kabisa mkuu.....acha tuwakumbushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…