Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkumbushe haland alivyo pondwa pale England.....baada ya mechi yake ya kwanzaUtani wa hivi katika soka unafanyika dunia nzima labda uanze kushabikia soka jana,au kisa huyo ni mzungu ndani ya ardhi yako ya Tz? acha inferiority complex
Kwa kweeli.Sema Ni mchezaji mzr ...anajua kujiposition pale atakapojua sehemu gani ni za offside
Hii sio sawa kabisa!Leo baada ya kuona mzungu (koko) wa simba baada ya kuona anaandamwa Sana mtandaoni Mimi naona huu ni ubaguzi wa wazi wazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi Ni baadhi ya picha za mdhungu was Simba [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mlete mdhunguuu. (×2) mlete mdhungu (×2)
Tupia picha ulizo nazo.....na tafsiri yake
Imagine Mtu mwenyew hata English hajui vzr......Angekuwa Mwafrika anafanywa ivyo nchi ya wazungu mngesema ubaguzi nyie huku mnaita utani kuweni fear
Mtu ana mechi moja tu mmeshaanza uchawi