Circuit Breaker Senior Member Joined Mar 31, 2021 Posts 158 Reaction score 347 Dec 2, 2023 #41 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nasoma comment nikiwa nakula bia ya tatu Naenjoy sana. Mtoa mada nadhani atakua ameelewa sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nasoma comment nikiwa nakula bia ya tatu Naenjoy sana. Mtoa mada nadhani atakua ameelewa sasa.
Fallback JF-Expert Member Joined Aug 12, 2023 Posts 3,686 Reaction score 6,958 Dec 2, 2023 #42 Mpaji Mungu said: Kanisani ukiwa na shida huwa unapata Hela? Click to expand... Hawa tena wameweka walinzi getini kabisa ukionekana masikini masikini wanakuelekezea kituo cha polisi hawataki mtu masikini kanisani,
Mpaji Mungu said: Kanisani ukiwa na shida huwa unapata Hela? Click to expand... Hawa tena wameweka walinzi getini kabisa ukionekana masikini masikini wanakuelekezea kituo cha polisi hawataki mtu masikini kanisani,
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Dec 2, 2023 #43 Uncle Fujo said: Hawa tena wameweka walinzi getini kabisa ukionekana masikini masikini wanakuelekezea kituo cha polisi hawataki mtu masikini kanisani, Click to expand... Wale walinzi wa Suma jkt getini hawana utani wapo kama askari wa kirumi
Uncle Fujo said: Hawa tena wameweka walinzi getini kabisa ukionekana masikini masikini wanakuelekezea kituo cha polisi hawataki mtu masikini kanisani, Click to expand... Wale walinzi wa Suma jkt getini hawana utani wapo kama askari wa kirumi
Fallback JF-Expert Member Joined Aug 12, 2023 Posts 3,686 Reaction score 6,958 Dec 2, 2023 #44 Mpaji Mungu said: Wale walinzi wa Suma jkt getini hawana utani wapo kama askari wa kirumi Click to expand... Siku hizi wametolewa Sumu ni majoka ya kibisa akigusa raia ovyo ovyo hana kazi, inabidi awe mpole tu
Mpaji Mungu said: Wale walinzi wa Suma jkt getini hawana utani wapo kama askari wa kirumi Click to expand... Siku hizi wametolewa Sumu ni majoka ya kibisa akigusa raia ovyo ovyo hana kazi, inabidi awe mpole tu
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Dec 2, 2023 #45 Black people share cigarettes and beers but never opportunities.
Mpwayungu Village JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 14,540 Reaction score 30,875 Dec 2, 2023 #46 Ushimen said: Ebu njoo hapa oxygen tuone la kufanya mkuu[emoji1787][emoji1787] Click to expand... Nipo apa terraces tabora mjini
Ushimen said: Ebu njoo hapa oxygen tuone la kufanya mkuu[emoji1787][emoji1787] Click to expand... Nipo apa terraces tabora mjini
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 3,781 Reaction score 12,091 Dec 2, 2023 #47 Ushimen said: Ebu njoo hapa oxygen tuone la kufanya mkuu🤣🤣 Click to expand... Tabora hiyoo .