Mlevi, mzee wa kupiga hesabu baada ya matumizi

Mwanzo ulianza kama mc mbonike mzee wa irudiwe irudiwe lakn mwisho umetoa ujumbe mzuri lakn pombe ni shetani unaweza panga matumiz mapema lakn baada ya kupanda kichwan unachukua boda kwenda ATM na kauli za kijinga unachokula ndio chako
 
asikwambie mtu hiyo ndio starehe ya dunia aka mpango sio matumizi.shida niliyonayo mimi nikilewa nakuwa na roho bariidi kabisa naweza kugawa ofa ovyo hadi ela ikaisha kesho yake nianze kujutia majuto mjukuu
 
Nimekuelewa sana mkuu me sio mnywaji sana na sina maisha kiivyo ni juzi tu nilikuwa na elfu 90 mfukoni nikasema nipitie mahali nijipigie mbili tatu bajeti ya juu nikajisemea hata nikitumia elfu 20 ni safi kwa sababu me nikigonga safari zangu 5 nakuwa niko poa sana

lakini kilichotokea niliondoka pale saa11 alfajiri na malaya na asubuhi nikijikuta na nikiwa na elfu12 tu nikajuta kama siku tatu hivi ndiyo nikakubali matokeo
 
Mkuu una taaluma gani!?? Nimependa Sana uandiashi wako yaani kiasi kwamba Pamoja na story yako ndefu Ila nimeisoma yote. Hongera pia inafundisha maana hizo Mambo nilijua ni Mimi peke yangu.
 
[emoji23]pole Sana mkuu,
mi nikiwa na fungu hata njia yenye bar sipiti.

Na hata nikipita ata trafiki anipige mkono sisimami[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah kaka imeshanitokeaga hii inauma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H
Da! Hii imenitokea pia week kama mbili zilizopita , nilikuwa kama na 150000 kwenye Mpesa nikapita Mahala nikiwa nalengo la kupiga balimi mbili na ilikuwa destri yangu ,aise kilichonipata bia zilikuwa tamu nikapiga bila kujua idadi Kuna Manzi nikapita naye Asubuhi naamka cheki pesa salio halitoshi hata kufanya muhamala week nzima niko depressed Mpaka leo nimeamua kutulia kabisa, Hii Mambo Isikie tu ,sema uzuri wake ikapita huwa haumizi akili
 
Dah... Ila bhana, pombe ana watoto wengi Sana, umalaya, ajali za reckless driving, kuhonga pasipo na hitaji.alafu unajifariji,ntapat zingine Tu, NA SITAZICHEZEA TENA
Huwa tuna mipango mizuri na hesabu nzuri sana kabla hatujalewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…