Mlevi, mzee wa kupiga hesabu baada ya matumizi

Mi mpaka saiv naendelea kufanya uchunguz,niliingia bar nikatumia 20k ila naeletewa bill Inasoma 100k,pemben Kuna kibanda Cha mpesa .na nikiangalia sms naona kabsa nilitoa 80k ,Sasa nilifikaje fikaje kwenye kibanda Cha mpesa ?????.

Hii pombe hii
 
alafu mi nikilewa huwa naongea Kama vile nalia ,lawama kibao[emoji3][emoji3],Kuna mwana mmoja tukilewa tunashauriana ujinga,utasikia oya daaa ujue si ni matajiri check tunavyoshika bia,maskini hawez kushika bia hivi.
 
umentonesha kidonda, 2016. nimelia shida kwa dingi. jioni jioni katoka job nimekutana nae morrocco kantoa 500,000/=..ipo na rubber band kabisa, nkaita wanangu tumeanza bulls survey mishale saa moja,,apa wana wanacontribute na me natoa, hapa almost 30k tu imetoka..nadhani ilipaswa show iishie hapa ila saa nne tunaona kumejaa fuvo za watoto wa chuo tukaamua tuzame tabata K.P (kwetu pazuri) ..apa ndo ibilisi alishinda game lake.

tunafika KP kumbe baadhi ya wana walishatweta wamebaki na nauli tu na hawakusema wakati tunahama goli, kufika kila mtu c. lite, ngeti lite

..napiga round moja najua hii ndo basi..doh kadri wana wanakunywa turbo zinafunguka..mara mishale saa nane masela koo bado zinapiga intake tu..mwanangu mmoja akapiga round kama tatu, nkasema hapana hawa wanangu wacha tu tufurahi..hapo watoto wote pembeni macho kodo,, dj Micho full mipaisho kwenye pande zetu..mademu wakawa wanakuja wanataka offer mixer ..bounser kaa hapa asije mwanamke yoyote, chukua kvant na ten la supu kesho, sisi hatutaki shobo, piga sana round za supu kuku, mixer mishkaki.
saa 11 mida ya daladala sasa tukalale..masela wenye hali mbaya unapewa support ya supu kesho yake.

kuamka asbuhi balance 298k.
kiasi nikajilaumu.

kwa sasa mimi si mnywaji wa mjumuiko na watu wengi.
Lakini, hao wana hawajawahi kunisnitch. hawa ndo huwa tunapeana support every now and then..ninashukuru sikupoteza bali ilitujengea bond sana.
NB. kwenye pombe ubongo huwa unatuma taarifa kabisa kwamba bwana flani hapa umeshatosheka, shida ni pale ibilisi hupita na kiupepo chake na kufanikiwa kukushawishi kuwa hapana, kuna raha bado hujaipata..
 
Mi mpaka saiv naendelea kufanya uchunguz,niliingia bar nikatumia 20k ila naeletewa bill Inasoma 100k,pemben Kuna kibanda Cha mpesa .na nikiangalia sms naona kabsa nilitoa 80k ,Sasa nilifikaje fikaje kwenye kibanda Cha mpesa ?????.

Hii pombe hii
Ni kama ambavyo ukilewa unajikuta umefika home uko salama ila hukumbuki tukio lolote barabarani!
 
Mlevi smart...unajua kuelezea hadi raha, sikutaka hata umalize[emoji8][emoji8]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hii kanuni inatusaidia wengi. Haisee nilijifunza usiende na hela nyingi(kutegemeana na kipato chako) bar unaweza kujuta sana.
Ndio yale mtu kapokea mshahara leo. Kesho kaamka na buku[emoji3]
Pombe ikikukolea unacheza wewe...

Sim-banking ni nuksi, bora usiwe na hela bank tu[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Haaahaaa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
alafu mi nikilewa huwa naongea Kama vile nalia ,lawama kibao[emoji3][emoji3],Kuna mwana mmoja tukilewa tunashauriana ujinga,utasikia oya daaa ujue si ni matajiri check tunavyoshika bia,maskini hawez kushika bia hivi.
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…