The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo.
Muhumiwa huyo alikuwa akikwabaka watoto hao wanaokaa kwenye kituo hicho akiwadanganya kuwa anawatengeneza kisaikolojia ili wasisumbuliwe na wanaume mtaani na waweze kufanya vizuri kwenye masomo yao ya Sekondari.
Taratibu za upelelezi dhidi ya mtuhumiwa huyo zinaendelea na anahojwa kwa kina kwa kushirikiana na Idara nyingine za Serikali na mara baada ya kukamilika mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani.