Asante kwa taarifa, kesho nachukua MTEITumefika Singida mbele kuelekea Misigiri gari ikaharibika.Kondakta alitokomea kwenda mjini na abiria tukawa tumetelekezwa.Jirekebisheni
Kuharibika kwa chombo ni kawaida, ila wamewaweka watu kuanzia saa sita mchana mpaka saa mbili za usiku. Kuliko kupanda haya magari aheri upande maloriDuh!! Hamkuwa na kiberiti kabisa??
Sasa angebaki hapo mafundi na vipuri vingeletwa nani?Tumefika Singida mbele kuelekea Misigiri gari ikaharibika.Kondakta alitokomea kwenda mjini na abiria tukawa tumetelekezwa.Jirekebisheni
PoleniAyageuze dala dala hata Moshi Arusha,
Asante kwa taarifa, kesho nachukua MTEI
Inamaana ingekuwa ni wewe wangekuta majivu tuDuh!! Hamkuwa na kiberiti kabisa??