Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mlilkuwa mnasema kwamba kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa ama Shirikisho si mafanikio kwa timu ya Mpira Afrika bali kuchukua kombe ndiyo mafanikio. Mlikuwa mnasema hakuna kitu Simba imepata kwa kuingia Robo fainali ya Klabu Bingwa na Shirikisho!
Nyie sasa mmeingia robo fainali kwa mara ya kwanza, hadi nchi imepinduka pinduka kwa makelele yenu. Au ndiyo yale mambo ya maskini akipata.
Nyie sasa mmeingia robo fainali kwa mara ya kwanza, hadi nchi imepinduka pinduka kwa makelele yenu. Au ndiyo yale mambo ya maskini akipata.