Mliiponda Simba kuingia robo fainali Shirikisho, ila nyie mmeshangilia nusura mtoke roho

Makolokolo wana utindio wa ubongo kabisa.

Walikuwa wanaanzisha nyuzi tele humu kuiponda Yanga tangu 1998 haijawahi kufika robo fainali, sasa hivi wameamua kujifariji tena na robo fainali yao ya mchongo walioyowakatalia Vipers goli 1 la kusawazisha.
 
Simba imepangwa kushiriki super CUP Africa!!
 
Malengo ya kuchukua ubingwa bila ya kufika kwanza Robo fainali. Kama malengo ni kuchukua ubingwa yale mayowe yenu ya jana ni ya nini sasa?

ilikuwa utadhani utopolo wote wameambiwa watakwenda mbinguni hata kama watatenda dhambi!!
Mlitubeza na kututisha,mwarabu,mwarabu,mwarabuuu,tunataka kwanza tumisibitishieni,mwarabu sii kitu kwa mwananchi,tena tutafanya majaribio kwa Raja,Al Ahly,tufunge kazi na mamelodi (Hizo zitakuwa za kirafiki,pia kama kipimo cha ubora wetu)😂
 
Simba ndiyo timu inayojulikana ni kiboko kwa wale Waarabu "Original" na ndiyo timu imewafunga waarabu wote wakubwa!!

Nyie mmekutana na waarabu wa kwa mtogole ndiyo mnataka kupiga mikelele?? Katimu tangu kaanzishwe mwaka 1923 mpaka leo kamechukua makombe mawili tu nchini kwao na yote msimu wa mwaka 2019 - 2020.
 
Mbona mwarabu wa kutoka Tandale kwa tumbo kampiga mtu tatu(Raja/Rajabu)😂😂
 
Back
Top Bottom