Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yanga ukishawajua hakuna kitu kitakushangaza tena dunianiMlilkuwa mnasema kwamba kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa ama Shirikisho si mafanikio kwa timu ya Mpira Afrika bali kuchukua kombe. Mlikuwa mnasema hakuna kitu Simba imepata kwa kuingia Robo fainali ya Klabu Bingwa na Shirikisho...
Malengo ya kuchukua ubingwa bila ya kufika kwanza Robo fainali. Kama malengo ni kuchukua ubingwa yale mayowe yenu ya jana ni ya nini sasa?Jua kutofautisha malengo
Nitashangaa sana baada ya kutolewa na Orlando Pirates, halafu Kaizer Chiefs, Simba wawe hawajajifunza jinsi ya kuitoa timu ya South Africa. Nadhani tutegemee kitu tofauti mwaka huu. Malengo ya at least nusu fainali lazima yafikiwe mwaka huu.Simba Bora ikutane na Mamelodi ...hata ikitolewa itakuwa imetolewa na bingwa
Robo fainali ndiyo mtihani wa kuvuka, ila nusu fainali ndiyo malengo. Acha walioyaita mashindano ya Shirikisho kwamba ni mashindano ya walioshindwa washangilie kufiika robo fainali!!Nitashangaa sana baada ya kutolewa na Orlando Pirates, halafu Kaizer Chiefs, Simba wawe hawajajifunza jinsi ya kuitoa timu ya South Africa. Nadhani tutegemee kitu tofauti mwaka huu. Malengo ya at least nusu fainali lazima yafikiwe mwaka huu.
Nyie watu ni watu wa madua mabaya dhidi ya Simba kila siku!!Mara paah! Simba πΉπΏ vs Mamelody Sundowns πΏπ¦. Watu woyooooh!!
Bora simba vs Mamelody, robo final.Mara paah! Simba [emoji1241] vs Mamelody Sundowns [emoji1221]. Watu woyooooh!!
punguza mihemko,unafanya ata unachoandika hakielewekiMalengo ya kuchukua ubingwa bila ya kufika kwanza Robo fainali. Kama malengo ni kuchukua ubingwa yale mayowe yenu ya jana ni ya nini sasa?
ilikuwa utadhani utopolo wote wameambiwa watakwenda mbinguni hata kama watatenda dhambi!!
Nimeandika utopolo!!?punguza mihemko,unafanya ata unachoandika hakieleweki
ππhawa utoporoooo kochawao luc eymael hakukosea kuwaita yale majina .Nakumbuka walisema Simba ilikua inafika hatua ya robo fainali kutokana na timu ilizocheza nazo kuwa na Corona lockdownπππsasa maajabu kwenye Corona hiyohyo wakatolewa hatua ya awali na Rivers FC ya NigeriaRobo fainali ndiyo mtihani wa kuvuka, ila nusu fainali ndiyo malengo. Acha walioyaita mashindano ya Shirikisho kwamba ni mashindano ya walioshindwa washangilie kufiika robo fainali!!
Umenikumbusha ya Waruguru wanafurahia Mkude amekufa gagongwa na gari ya balozi.ππSimba Bora ikutane na Mamelodi ...hata ikitolewa itakuwa imetolewa na bingwa
Malengo ya Yanga ilikuwa ni kuingia makundi, lakini timu Sasa IPO robo fainali, hii tayari ni bonus, hata timu ikitolewa hatuna cha kuwadai wachezaji wala viongozi.Mlilkuwa mnasema kwamba kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa ama Shirikisho si mafanikio kwa timu ya Mpira Afrika bali kuchukua kombe ndiyo mafanikio. Mlikuwa mnasema hakuna kitu Simba imepata kwa kuingia Robo fainali ya Klabu Bingwa na Shirikisho!
Nyie sasa mmeingia robo fainali kwa mara ya kwanza, hadi nchi imepinduka pinduka kwa makelele yenu. Au ndiyo yale mambo ya maskini akipata.
Malengo ya kuishia Makundi yalikuwa ya Mzee Mpili na Ashura cheupe. Kufika robo fainali ni mafanikio ama siyo mafanikio??Malengo ya Yanga ilikuwa ni kuingia makundi, lakini timu Sasa IPO robo fainali, hii tayari ni bonus, hata timu ikitolewa hatuna cha kuwadai wachezaji wala viongozi.
Ndicho nilichotaka kusema, umeshawakilisha mawazo yangu π°π°πππMalengo yetu ni kuchukua ubingwa sio kuingia robo fainali.
Ni utofauti wa malengo tu mkuu
malengo ya kuingia makundi ya kombe lipi...ππMalengo ya Yanga ilikuwa ni kuingia makundi, lakini timu Sasa IPO robo fainali, hii tayari ni bonus, hata timu ikitolewa hatuna cha kuwadai wachezaji wala viongozi.
Usitoneshe kidonda. Walikuja na ile kauli mbiu yao mwaka jana ya Ritani ofu ze championi.... cha moto walikiona. Mwaka huu walikuwa na malengo ya kufika makundi Klab Bingwa nako wakapigwa za uso.malengo ya kuingia makundi ya kombe lipi...ππ