Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Umeharibu uzi! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya maumivu sio ya nchi hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kula ugoro. Sasa maumivu gani hapo? Si nimemuambia kitu REALITY??

Yani unaoa demu hujui wanaume wangap washamvua chupi halafu unakuja kujisifia eti smart n confident??

We gonga ukinogewa weka ndani mfanye maisha na sio ngojera na mashairi
 
Haha, mzee umemwaga omo sio poa!
 
This comment killed me three f@ckin times!

I don't believe in humanity anymore!
 
Hatuna seal lakini...

Hizo seal ziliwekwa ili mume halali aibandue. Sasa aliyebandua na anayeweka ndani ni tofauti, nakubaliana na mwamba kwamba jamaa apige mashine akiona inalipa wakikubaliana aweke mzigo ndani.
"Mume halali" ni yule ambae hajawahi kuzini, hawa wengine ni waume za watu.
Mnaowabandua hamuwaoi, hivyo lazima mteseke tu .
 
Ishakuwa hivyo, jaribu kuja upya uone kama sitojua. You're my babez ujuwe[emoji23][emoji23]
Siwezi aisee, nabadili hii hii ukizingatia tumepewa hilo rungu basi nikijisikia tu nabadili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ilikuwa mwezi Wa 8, 2010 nikiwa kwny sherehe usiku saa mbili Dada mmoja alkaa karibu nami nikamuomba no akanipa kesho yake nikaanza kutongoza baada ya week 1 akaja geto nikamla ,2013 mwezi Wa 6 tukafunga ndoa kanisani
 
Nakuuliza we mtaalam wa kubadili..

Haya turudi kwa mada, ulikutana na mimi wapi?
Hamna sio mara moja, maana nimeona naruhusiwa kubadili tena mwezi wa 11.

Babe tulikutana kanisani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…