Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Aache porojo aoe kisha aje kuleta mrejesho...smart , intelligent atajua hajui
 
Hamna sio mara moja, maana nimeona naruhusiwa kubadili tena mwezi wa 11.

Babe tulikutana kanisani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwaya!
 
Dah....we jamaa punguza ukali wa maneno,mpk mkuu ame edit post yake , atashindwa vp ku edit ndoa yake[emoji23][emoji23]
 

Unataka nije kumuoa mama yako au dada yako
 
Ilikuwa mwezi Wa 8, 2010 nikiwa kwny sherehe usiku saa mbili Dada mmoja alkaa karibu nami nikamuomba no akanipa kesho yake nikaanza kutongoza baada ya week 1 akaja geto nikamla ,2013 mwezi Wa 6 tukafunga ndoa kanisani

Hatar
 
Maisha ni safari ndefu na yenye changamoto nyingi za hapa na pale, katika hali hii wengi wetu ukutana na wawapendao na kuanzisha mahusiano na badae ndoa na hatimaye familia(baba watoto na mama watoto).

Wengi wetu humu, uwe mzee, wa makamo au kijana utakuwa unakumbuka siku na sehemu ulipokutana na mwenza wako kwahiyo sio vibaya tukumbushane humu.

Binafsi mimi mke mtarajiwa niliyenaye leo hii, tulikutana tukiwa kidato cha tano kwenye tour Serengeti 😁, mpaka sasa ni miaka 8 tupo kwenye mahusiano, mwaka huu tunatarajia ndoa, Mungu akipenda.

Hebu na wewe mwana JF tukumbushe ni wapi mlikutana na mke/mume au mpenzi wako uliyenaye kwa sasa na utuambie ilikuwaje kuwaje na mlianzaje anzaje.

 
Hata mkioana mtaachana mshaonjana sana hata huko honeymoon hamna kipya mshapeana style zote hadi za popo kanyea mbingu, hamza kafia ubalozin mshachambuana vuz moja moja hata hamnogi ...
Mmh mbona makasiriko ndugu, haya yote yanatoka wapi. Ungesema tu mlikutana wapi na husband basi ingetosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…