figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Yaani kwa Ufupi, hakuna anayejali kuhusu Tanganyika. Mtajijua wenyewe.
Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, Watendaji wa Serikali ni kama hakuna kilichotokea.
Malori yamegoma, lakini watendaji wa Serikali wapo kwenye Vikao vya posho.
Nchi haina mwenye. Shamba la Bibi. Polisi wanalwta vitisho kwenye magari ya watu utadhani waliwanunulia.
Kilimanjaro haina magari ya Zima moto? Kwanini mlima unateketea na moto hauzimwi?